mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara ambaye pia ni mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ameeleza hayo alipofanya mahojiano maalum na Clouds FM kupitia kipindi cha Power Breakfast leo, Jumanne Desemba 17.2024
Lissu amesema
Kwanza niweke wazi maana kuna vimaneno maneno kwamba huyu (Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara na mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa) anatengeneza namna ya kuhama, sasa nataka niseme haami mtu hapa, haami mtu hapa, ukisema Msigwa (Mchungaji Peter Msigwa, aliyekuwa kada wa CHADEMA aliyetimkia CCM) alisema hivyo hivyo nataka niwaambie Msigwa sio Tundu Lissu"
"Mliniuliza baada ya yote hayo, marisasi yote hayo, majela yote haya kwa nini bado umo (kwenye mapambano ya siasa na demokrasia), nataka muelewe kwamba nipo kwa sababu i was born to do this, mimi ni mwanamageuzi, na Chama cha Mapinduzi (CCM) hakijawahi kuwa chama cha mageuzi na hakitakaa kiwe cha mageuzi"