johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tuko Ufipa temporary kutetea HAKIMnafiki na ndumilakuwili kwenye ubora wake
Ruzuku ni Kodi kutoka Kwa Wananchi maskini 🐼😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko Ufipa temporary kutetea HAKIMnafiki na ndumilakuwili kwenye ubora wake
Muulize kuhusu kauli hii kwenye clip hii. Mimi siwezi kumwamini!Kwanza niweke wazi maana kuna vimaneno maneno kwamba huyu (Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara na mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa) anatengeneza namna ya kuhama, sasa nataka niseme haami mtu hapa, haami mtu hapa, ukisema Msigwa (Mchungaji Peter Msigwa, aliyekuwa kada wa CHADEMA aliyetimkia CCM) alisema hivyo hivyo nataka niwaambie Msgwa sio Tundu Lissu" -Lissu
Basi angekuwa amehama nchi.Lisu mtu wa kubadilika badilika huyo muongo anahama Chadema huyo
Rafiki na mwanachadema mwenzangu, unasemaje kuhusu kauli hii ya Lisu. Lisu anafaa in all aspwcts of uongozi, lakini kaika mazingira ambapo maadui wenu will take advantage of your mgawanyiko kuwatawanya, sioni busara katika Lisu!Mnafiki na ndumilakuwili kwenye ubora wake
mwanamageuzi mwenye pupa, anaeteswa na uamuzi wake wa kugombea uenyekiti chadema Taifa, wenye viashiria vyote vya tamaa na uchu wa maadaraka..Kwanza niweke wazi maana kuna vimaneno maneno kwamba huyu (Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara na mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa) anatengeneza namna ya kuhama, sasa nataka niseme haami mtu hapa, haami mtu hapa, ukisema Msigwa (Mchungaji Peter Msigwa, aliyekuwa kada wa CHADEMA aliyetimkia CCM) alisema hivyo hivyo nataka niwaambie Msgwa sio Tundu Lissu" -Lissu
"Mliniuliza baada ya yote hayo, marisasi yote hayo, majela yote haya kwa nini bado umo (kwenye mapambano ya siasa na demokrasia), nataka muelewe kwamba nipo kwa sababu i was born to do this, mimi ni mwanamageuzi, na Chama cha Mapinduzi (CCM) hakijawahi kuwa chama cha mageuzi na hakitakaa kiwe cha mageuzi" -Lissu
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA @ChademaTz Tanzania Bara ambaye pia ni mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu @TunduALissu ameeleza hayo alipofanya mahojiano maalum na Clouds FM @CloudsMediaLive kupitia kipindi cha Power Breakfast leo, Jumanne Desemba 17.2024
Good.Tunataka Lisu Agombee.
Mbowe agombeee
Sugu agombee
John Hechee agombee
Na wanachama wengine wenye hyo 1.5M wagombee
Yeyote Mwenye kadi ya chadema, Na anasukumwa kugombea akachukue form, Atangaze nia agombee.
Uzuri, Katibu wa chadema hajasema form iko 1 kama chama fulani, Hivuo kila mwanachama wa chadema, amepewa haki ya kuchukua form na kugombe.
Maswala ya nani atakua mwenyekiti, Tuwaachie Wajumbe, Period.
CCM wenye akili wanamjua Tundu Lissu na uwezo wake ndiyo maana wanafanya juhudi kubwa asiwe Mwenyekiti wa Chadema kwani wanajuafika atawapelekea moto ndiyo maana unaona nguvu kubwa inayotumiwa na CCM na Dola kuzuia Lissu asiwe mwenyekiti.Honestly, watu hawajui Tundu Lissu...
Na CCM hakika hawamjui Tundu Lissu....
Huyu mtu hababaishwi na hatishiwi nyau...
Ni mtu wa misimamo na akisemacho ndicho hukifanya na akisema hafanyi au hapendi hiki, anakuwa amemaliza...
Huyu ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA baada ya Freeman Mbowe...
Msigwa anasemaje?Hakika Tundu Lisu ni Mtu anayejitambua sana
Yeriko Nyerere huko alipo lazima Tumbo la kuhara limshike Kwa sababu mashambulizi yake yanamfanya Tundu Lisu azidi kuwa Imara
Mungu wa mbinguni mbariki Tundu Lisu 😃
Umeona eh walichokuwa wanakitaka kimeshindikana sasa mashambulizi yametoka kwa Mbowe ambaye wanamwita DICTATOR kwenda kwa Lisu ambaye wanamwita mkurupukaji.Mungu ibariki CHADEMA na watu wake.Lissu is a strong man! Anazungumza anachomaanisha.
Nadhani tiss na ma lices ya kijani walichotaka kwa muda mrefu ni Mbowe aachie nafasi ya Uenyekiti lakini ashike mtu mwingine siyo Lissu! Nadhani hapa ndiyo penye shida.
Huyu Msigwa huishi kumtaja taja kwani uko naye vipi?Msigwa anasemaje?
Mbona alisema hatagombea uenyekiti wa CHADEMA kamwe lakini muda siyo mrefu akabadilisha msimamo wake, na sasa hivi anaenda kugombea.Honestly, watu hawajui Tundu Lissu...
Na CCM hakika hawamjui Tundu Lissu....
Huyu mtu hababaishwi na hatishiwi nyau...
Ni mtu wa misimamo na akisemacho ndicho hukifanya na akisema hafanyi au hapendi hiki, anakuwa amemaliza...
Huyu ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA baada ya Freeman Mbowe...
Nani ni ndumilakuwili mkuu.Mnafiki na ndumilakuwili kwenye ubora wake