Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara ambaye pia ni mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ameeleza hayo alipofanya mahojiano maalum na Clouds FM kupitia kipindi cha Power Breakfast leo, Jumanne Desemba 17.2024
Lissu amesema
Kwanza niweke wazi maana kuna vimaneno maneno kwamba huyu (Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara na mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa) anatengeneza namna ya kuhama, sasa nataka niseme haami mtu hapa, haami mtu hapa, ukisema Msigwa (Mchungaji Peter Msigwa, aliyekuwa kada wa CHADEMA aliyetimkia CCM) alisema hivyo hivyo nataka niwaambie Msigwa sio Tundu Lissu"
"Mliniuliza baada ya yote hayo, marisasi yote hayo, majela yote haya kwa nini bado umo (kwenye mapambano ya siasa na demokrasia), nataka muelewe kwamba nipo kwa sababu i was born to do this, mimi ni mwanamageuzi, na Chama cha Mapinduzi (CCM) hakijawahi kuwa chama cha mageuzi na hakitakaa kiwe cha mageuzi"
Mbowe popote ulipo, najua una busara na hekma...tafadhali mpishe Lissu apokee kijiti cha uenyekiti.
Ma ccm ya sasa ni wahuni...Lissu ndiyo kiboko yao, ni mwendo wa ubaya ubwela tuu hadi akili ziwakae sawa!
Haiwezekani hadi kiongozi wa CHADEMA kama mzee Kibao anauawa mchana kweupe na dola halafu Rais aseme kirahisi rahisi eti hicho ni kifo cha kawaida...mara sijui uchunguzi ufanyike haraka wakati hadi leo kimya hakuna majibu huku ni kutufanya sie watoto wadogo.
Wajumbe wapiga kura...chonde chonde tuleteeni Tundu Lissu.
Kwanza niweke wazi maana kuna vimaneno maneno kwamba huyu (Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara na mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa) anatengeneza namna ya kuhama, sasa nataka niseme haami mtu hapa, haami mtu hapa, ukisema Msigwa (Mchungaji Peter Msigwa, aliyekuwa kada wa CHADEMA aliyetimkia CCM) alisema hivyo hivyo nataka niwaambie Msgwa sio Tundu Lissu" -Lissu
"Mliniuliza baada ya yote hayo, marisasi yote hayo, majela yote haya kwa nini bado umo (kwenye mapambano ya siasa na demokrasia), nataka muelewe kwamba nipo kwa sababu i was born to do this, mimi ni mwanamageuzi, na Chama cha Mapinduzi (CCM) hakijawahi kuwa chama cha mageuzi na hakitakaa kiwe cha mageuzi" -Lissu
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA @ChademaTz Tanzania Bara ambaye pia ni mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu @TunduALissu ameeleza hayo alipofanya mahojiano maalum na Clouds FM @CloudsMediaLive kupitia kipindi cha Power Breakfast leo, Jumanne Desemba 17.2024
Ikibidi atahama tu, kama alivyosema hatogombea uenyekiti na sasa anautaka. Jambo gumu ni yeye kujiunga CCM lakini political force ya Lissu inatosha kuamsha uhai kwenye chama chochote kilichosajiliwa mf. TADEA na kukifanya kuwa chama kikubwa.
Kwanza niweke wazi maana kuna vimaneno maneno kwamba huyu (Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara na mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa) anatengeneza namna ya kuhama, sasa nataka niseme haami mtu hapa, haami mtu hapa, ukisema Msigwa (Mchungaji Peter Msigwa, aliyekuwa kada wa CHADEMA aliyetimkia CCM) alisema hivyo hivyo nataka niwaambie Msgwa sio Tundu Lissu" -Lissu
"Mliniuliza baada ya yote hayo, marisasi yote hayo, majela yote haya kwa nini bado umo (kwenye mapambano ya siasa na demokrasia), nataka muelewe kwamba nipo kwa sababu i was born to do this, mimi ni mwanamageuzi, na Chama cha Mapinduzi (CCM) hakijawahi kuwa chama cha mageuzi na hakitakaa kiwe cha mageuzi" -Lissu
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA @ChademaTz Tanzania Bara ambaye pia ni mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu @TunduALissu ameeleza hayo alipofanya mahojiano maalum na Clouds FM @CloudsMediaLive kupitia kipindi cha Power Breakfast leo, Jumanne Desemba 17.2024
Kwanza niweke wazi maana kuna vimaneno maneno kwamba huyu (Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara na mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa) anatengeneza namna ya kuhama, sasa nataka niseme haami mtu hapa, haami mtu hapa, ukisema Msigwa (Mchungaji Peter Msigwa, aliyekuwa kada wa CHADEMA aliyetimkia CCM) alisema hivyo hivyo nataka niwaambie Msgwa sio Tundu Lissu" -Lissuπππ¨πͺπΏ

Mliniuliza baada ya yote hayo, marisasi yote hayo, majela yote haya kwa nini bado umo (kwenye mapambano ya siasa na demokrasia), nataka muelewe kwamba nipo kwa sababu i was born to do this, mimi ni mwanamageuzi, na Chama cha Mapinduzi (CCM) hakijawahi kuwa chama cha mageuzi na hakitakaa kiwe cha mageuzi" -Lissuπππ¨πͺπΏβ€