Pre GE2025 Lissu: Sina mpango wa kuhama CHADEMA, Msigwa sio Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Muulize kuhusu kauli hii kwenye clip hii. Mimi siwezi kumwamini!
 

Attachments

  • SINA MPANGO WA KUGOMBEA UENYEKITI LISU.mp4
    7.1 MB
Mnafiki na ndumilakuwili kwenye ubora wake
Rafiki na mwanachadema mwenzangu, unasemaje kuhusu kauli hii ya Lisu. Lisu anafaa in all aspwcts of uongozi, lakini kaika mazingira ambapo maadui wenu will take advantage of your mgawanyiko kuwatawanya, sioni busara katika Lisu!
Nini kimemsukuma kubadili mawazo? Kesho si atabadirika tena na "kuuza" chama?
 

Attachments

  • SINA MPANGO WA KUGOMBEA UENYEKITI LISU.mp4
    7.1 MB
Tunataka Lisu Agombee.
Mbowe agombeee
Sugu agombee
John Hechee agombee
Na wanachama wengine wenye hyo 1.5M wagombee

Yeyote Mwenye kadi ya chadema, Na anasukumwa kugombea akachukue form, Atangaze nia agombee.

Uzuri, Katibu wa chadema hajasema form iko 1 kama chama fulani, Hivuo kila mwanachama wa chadema, amepewa haki ya kuchukua form na kugombe.

Maswala ya nani atakua mwenyekiti, Tuwaachie Wajumbe, Period.
 
mwanamageuzi mwenye pupa, anaeteswa na uamuzi wake wa kugombea uenyekiti chadema Taifa, wenye viashiria vyote vya tamaa na uchu wa maadaraka..

anaweweseka na kujutia mno uamuzi wake wa kukurupuka dah!πŸ’
 
Good.
 
Ama vipi aanzishe chama chake:

Chama cha Demokrasia na Wazalendo - CDW, badala ya CDM!
 
CCM wenye akili wanamjua Tundu Lissu na uwezo wake ndiyo maana wanafanya juhudi kubwa asiwe Mwenyekiti wa Chadema kwani wanajuafika atawapelekea moto ndiyo maana unaona nguvu kubwa inayotumiwa na CCM na Dola kuzuia Lissu asiwe mwenyekiti.
 
Hakika Tundu Lisu ni Mtu anayejitambua sana

Yeriko Nyerere huko alipo lazima Tumbo la kuhara limshike Kwa sababu mashambulizi yake yanamfanya Tundu Lisu azidi kuwa Imara

Mungu wa mbinguni mbariki Tundu Lisu πŸ˜ƒ
Msigwa anasemaje?
 
Lissu is a strong man! Anazungumza anachomaanisha.
Nadhani tiss na ma lices ya kijani walichotaka kwa muda mrefu ni Mbowe aachie nafasi ya Uenyekiti lakini ashike mtu mwingine siyo Lissu! Nadhani hapa ndiyo penye shida.
Umeona eh walichokuwa wanakitaka kimeshindikana sasa mashambulizi yametoka kwa Mbowe ambaye wanamwita DICTATOR kwenda kwa Lisu ambaye wanamwita mkurupukaji.Mungu ibariki CHADEMA na watu wake.
 
Kuna wakati niliwaza mdahalo kati ya Yericko na TAL. Rasmi nilikuwa naota!
 
Mbona alisema hatagombea uenyekiti wa CHADEMA kamwe lakini muda siyo mrefu akabadilisha msimamo wake, na sasa hivi anaenda kugombea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…