Pre GE2025 Lissu: Sina mpango wa kuhama CHADEMA, Msigwa sio Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema inapumulia mashine nafasi ya Uenyekiti
 
Ogopaa sana mtu aliyepitia kukoswa kufa namna ya huyu Jamaa,Nahisi Mungu anania njema na Taifa letu.CCM wajirudi wapunguze ubabe jambo la Mungu halikwamagi.Ukombozi wa nchi upo karibu.
 
Viva Lissi viva! Msikubali kuvunjana moyo. Wana cdm tupo nyuma yenu. Hata waliokunukisha kule Arusha kwa kumpitisha diwani wa mchongo kwenye dimbwi la maji barabarani ujasiri wao umetokana na jinsi mnavyotupa elimu ya uraia. Watu wameichoka ccm na figisu zake. Tunahitaji ukombozi wa nchi hii.
 
Ndio tofauti ya Msomi dhidi ya vilaza wa chadema,Lema,Sugu,Wenje ,Mdude na Mzee Mbowe (hawa wote walifeli elimu ya sekondari)
 
Mzee Mbowe alisema mwaka 2023 ndio mwisho ,sasa hakuna namna ni lazima Msomi Lissu amkabili
 
Shida ya uchawa na ushabiki lazima mshambuliane pale unapotofautiana sijawahi kutegemea chadema wenyewe kwa wenyewe watanyukana kiasi hichi si Bora msiwe na chama Kama Mimi unachagia hoja kwa Uhuru na kwa akili yako mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…