Lissu sio mtu wa kawaida. Hii ni zawadi ya kipekee kabisa Mungu alitupatia watanzania katika taifa letu

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
12,151
Reaction score
44,120
Tunaweza kutofautiana kimtazamo, lakini hatuwezi kubishania ukweli wa wazi.

Kama kuna zawadi ya kipekee kabisa ya mtu wa kutupigania na kushinda kwenye siasa, sheria, haki na maendeleo ambayo watanzania tulipewa na mwenyezi Mungu katika miaka 60 tangu kuundwa kwa taifa la Tanzania (Tanganyika) basi Tundu Lissu ni hiyo zawadi. Lissu ni mtu wa kipekee kabisa. Jamaa habebwi na mtu, jamaa anajibeba mwenyewe kwenye kila hatua.

Hizi ni sifa kumi zinazomtambulisha Lissu katika upekee wake katika siasa, sheria, haki na maendeleo.
1. Ujasiri.
2. Uvumilivu
3. Upeo (Akili)
4. Werevu (Ujanja)
5. Ushawishi
6. Kujieleza (Kuhutubia)
7. Kudadisi (kuchunguza)
8. Kufuatilia (kukomalia jambo)
9. Kumbukumbu njema
10. Hekima

Baadhi ya wataalamu wa sayansi ya jamii wanasema, watu wa aina ya Lissu huzaliwa mara moja katika jamii husika kila baada ya miaka 100.

Tunamuhitaji mnoo Lissu katika taifa letu katika kipindi hiki cha sasa huenda kuliko kipindi kingine chochote kile.
 
Ni hazina ya Taifa ,mtu asiyekubali kununulika ,mzalendo na anaamini anachokisimamia ....bahati mbaya sisi wa Tz ni mazuzu tusiyejua udhamani wa huyu mtu
 
Tunaweza kutofautiana kimtazamo, lakini hatuwezi kubishania ukweli wa wazi.

Kama kuna zawadi ya kipekee kabisa ya mtu wa kutupigania na kushinda kwenye siasa, sheria, haki na maendeleo ambayo watanzania tulipewa na mwenyezi Mungu katika miaka 60 tangu kuundwa kwa taifa la Tanzania (Tanganyika) basi Tundu Lissu ni hiyo zawadi. Lissu ni mtu wa kipekee kabisa. Jamaa habebwi na mtu, jamaa anajibeba mwenyewe kwenye kila hatua.

Hizi ni sifa kumi zinazomtambulisha Lissu katika upekee wake katika siasa, sheria, haki na maendeleo.
1. Ujasiri.
2. Uvumilivu
3. Upeo (Akili)
4. Werevu (Ujanja)
5. Ushawishi
6. Kujieleza (Kuhutubia)
7. Kudadisi (kuchunguza)
8. Kufuatilia (kukomalia jambo)
9. Kumbukumbu njema
10. Hekima

Baadhi ya wataalamu wa sayansi ya jamii wanasema, watu wa aina ya Lissu huzaliwa mara moja katika jamii husika kila baada ya miaka 100.

Tunamuhitaji mnoo Lissu katika taifa letu katika kipindi hiki cha sasa huenda kuliko kipindi kingine chochote kile.
Umenena vyema!!
 
Lakini Kuna wajinga hawajaelewa!! hii mpaka uwe Roho wa Mungu ndie utaelewa!! we ameshindika kwa risasi!!
 
Tunaweza kutofautiana kimtazamo, lakini hatuwezi kubishania ukweli wa wazi.

Kama kuna zawadi ya kipekee kabisa ya mtu wa kutupigania na kushinda kwenye siasa, sheria, haki na maendeleo ambayo watanzania tulipewa na mwenyezi Mungu katika miaka 60 tangu kuundwa kwa taifa la Tanzania (Tanganyika) basi Tundu Lissu ni hiyo zawadi. Lissu ni mtu wa kipekee kabisa. Jamaa habebwi na mtu, jamaa anajibeba mwenyewe kwenye kila hatua.

Hizi ni sifa kumi zinazomtambulisha Lissu katika upekee wake katika siasa, sheria, haki na maendeleo.
1. Ujasiri.
2. Uvumilivu
3. Upeo (Akili)
4. Werevu (Ujanja)
5. Ushawishi
6. Kujieleza (Kuhutubia)
7. Kudadisi (kuchunguza)
8. Kufuatilia (kukomalia jambo)
9. Kumbukumbu njema
10. Hekima

Baadhi ya wataalamu wa sayansi ya jamii wanasema, watu wa aina ya Lissu huzaliwa mara moja katika jamii husika kila baada ya miaka 100.

Tunamuhitaji mnoo Lissu katika taifa letu katika kipindi hiki cha sasa huenda kuliko kipindi kingine chochote kile.

View: https://www.facebook.com/share/v/12MYVm3m9TW/
 
..umesahau UCHESHI.

..Ni mtu mwenye mizaha na vichekesho ktk mazungumzo yake mengi.

..Mfano mzuri ni alivyoichekesha mahakama juzi wakati aliporipoti kuwa Magereza wameanza kumpa stahiki zake.
 
Tunaweza kutofautiana kimtazamo, lakini hatuwezi kubishania ukweli wa wazi.

Kama kuna zawadi ya kipekee kabisa ya mtu wa kutupigania na kushinda kwenye siasa, sheria, haki na maendeleo ambayo watanzania tulipewa na mwenyezi Mungu katika miaka 60 tangu kuundwa kwa taifa la Tanzania (Tanganyika) basi Tundu Lissu ni hiyo zawadi. Lissu ni mtu wa kipekee kabisa. Jamaa habebwi na mtu, jamaa anajibeba mwenyewe kwenye kila hatua.

Hizi ni sifa kumi zinazomtambulisha Lissu katika upekee wake katika siasa, sheria, haki na maendeleo.
1. Ujasiri.
2. Uvumilivu
3. Upeo (Akili)
4. Werevu (Ujanja)
5. Ushawishi
6. Kujieleza (Kuhutubia)
7. Kudadisi (kuchunguza)
8. Kufuatilia (kukomalia jambo)
9. Kumbukumbu njema
10. Hekima

Baadhi ya wataalamu wa sayansi ya jamii wanasema, watu wa aina ya Lissu huzaliwa mara moja katika jamii husika kila baada ya miaka 100.

Tunamuhitaji mnoo Lissu katika taifa letu katika kipindi hiki cha sasa huenda kuliko kipindi kingine chochote kile.
Cha kusikitisha CCM (Chama Cha Mambumbumbu) hawapendi watu waliosoma toka upinzani na ndiyo maana wanataka sana bunge lijalo lijazwe na watu kama kina Mwijaku, Steve Nyerere, Manara, Wema, Kajala na Haromize ili waweze kupitisha agenda zao za kijinga. Just imagine bunge kujazwa na vichaa, tunakwenda wapi, si kina Mwijaku ndiyo watakuwa wanavua boksa kabisa bungeni na kuringishia wabunge wanawake kuwa wana mizigo wamebeba? Yaani kama namuona kabisa Haji Manara akiruka serekasi na kupigiwa makofi na wabunge wenzake. Kwa kweli CCM ilishatufanya sisi wananchi kuwa wajinga wa kutupwa.
 
Tunaweza kutofautiana kimtazamo, lakini hatuwezi kubishania ukweli wa wazi.

Kama kuna zawadi ya kipekee kabisa ya mtu wa kutupigania na kushinda kwenye siasa, sheria, haki na maendeleo ambayo watanzania tulipewa na mwenyezi Mungu katika miaka 60 tangu kuundwa kwa taifa la Tanzania (Tanganyika) basi Tundu Lissu ni hiyo zawadi. Lissu ni mtu wa kipekee kabisa. Jamaa habebwi na mtu, jamaa anajibeba mwenyewe kwenye kila hatua.

Hizi ni sifa kumi zinazomtambulisha Lissu katika upekee wake katika siasa, sheria, haki na maendeleo.
1. Ujasiri.
2. Uvumilivu
3. Upeo (Akili)
4. Werevu (Ujanja)
5. Ushawishi
6. Kujieleza (Kuhutubia)
7. Kudadisi (kuchunguza)
8. Kufuatilia (kukomalia jambo)
9. Kumbukumbu njema
10. Hekima

Baadhi ya wataalamu wa sayansi ya jamii wanasema, watu wa aina ya Lissu huzaliwa mara moja katika jamii husika kila baada ya miaka 100.

Tunamuhitaji mnoo Lissu katika taifa letu katika kipindi hiki cha sasa huenda kuliko kipindi kingine chochote kile.
Kwenye namba 3 na namba 10 NAPINGA kwa nguvu zote.

Angekuwa na akili na hekima angepima na kuchuja maneno anayotumia kwenye majukwaa. Na leo hii asingekuwa ananyea ndoo Ukonga
 
Wewe pinga ila ukweli ndio huo.
 
Tunaweza kutofautiana kimtazamo, lakini hatuwezi kubishania ukweli wa wazi.

Kama kuna zawadi ya kipekee kabisa ya mtu wa kutupigania na kushinda kwenye siasa, sheria, haki na maendeleo ambayo watanzania tulipewa na mwenyezi Mungu katika miaka 60 tangu kuundwa kwa taifa la Tanzania (Tanganyika) basi Tundu Lissu ni hiyo zawadi. Lissu ni mtu wa kipekee kabisa. Jamaa habebwi na mtu, jamaa anajibeba mwenyewe kwenye kila hatua.

Hizi ni sifa kumi zinazomtambulisha Lissu katika upekee wake katika siasa, sheria, haki na maendeleo.
1. Ujasiri.
2. Uvumilivu
3. Upeo (Akili)
4. Werevu (Ujanja)
5. Ushawishi
6. Kujieleza (Kuhutubia)
7. Kudadisi (kuchunguza)
8. Kufuatilia (kukomalia jambo)
9. Kumbukumbu njema
10. Hekima

Baadhi ya wataalamu wa sayansi ya jamii wanasema, watu wa aina ya Lissu huzaliwa mara moja katika jamii husika kila baada ya miaka 100.

Tunamuhitaji mnoo Lissu katika taifa letu katika kipindi hiki cha sasa huenda kuliko kipindi kingine chochote kile.
Umesahau moja kubwa kuliko zote "caracter" huyu jamaa bado anatabasamu akiwa mahakani! Ni nadra sana wengine kufanya hivyo.Pia kama angelikuwa na zengwe ktk maisha yake ccm wangemaliza kisiasa SK nyingi.Halafu utakumbuka wakati wa uchaguzi alimwambia wenje"Mimi ntagombea uenyekiti na aliyekutuma" na matokeo yakawa positive. What a man.Mimi sio cdm lakini na admire sana hawa jamaa
 
Back
Top Bottom