Lissu: Siogopi kuitwa msaliti

Huo ndio uwanaume
 
Mwenyekiti/Rais chini ya CCM ni mwiko kuhudumu kwa zaidi ya miaka kumi au misimu miwili ya kiutawala madarakani.
Baada ya miaka 5 si kuna uchaguzi, kwann ichapishwe fomu moja tu wakati katiba ya ccm haisemi hivyo?
 
Aliyemuita msaliti ni Magufuli, acha uchonganishi.
 
Lissu kwa sasa ndo turufu pekee chadema, chadema ikiendelea kung'ang'ana na mbowe watajimaliza wenyewe.
 
Wewe punguani lisu amesema hivi:-

Mimi natembea na risasi mgongoni, ntaogopa mawe ya mitandaoni!!!!!!
 
Ameitwa msaliti na chadema wenzio
Lakini neno "msaliti" umelipachika mwenyewe wala halijatoka mdomoni mwa Tundu Lissu...

Wote tumefuatilia Press Conference ile mwanzo mwisho na kila kilichotoka mdomoni mwa M/Kiti FB na makamu wake TL kimesikika na kueleweka vyema...

Infact wana CCM wanafanya kila njia kujenga picha ya mtafaruku ndani ya CHADEMA

Lakini kwa mkutano wa leo, honestly sijaona ugomvi wala dalili za ugomvi wowote kati ya mwenyekiti FM na makamu wake TL...

All in all, confidence ya mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe ya alivyojibu maswali ya "hamuelewani na makamu wako" na "lini utastaafu uenyekiti, miaka 20 imekutosha" ndiyo iliyonifurahisha na imeonesha kwa wazi sana kuwa huyu jamaa ni kiongozi haswaaa....!
 
Weka hiyo video ya lisu usijekuta na wewe ni kiraka tu[emoji848]
Huyu ni kibaraka lisu amesema haogopi mawe ya mitandaoni kwa sababu hata sasa anatembea na risasi mgongoni.na kasema magufuli alimwita msaliti na akatuma watu kumpiga risasi so haogozi mambo ya kijinga mitandaoni.

Mleta mada ni kimada wa msigwa Peter
 
Nimewasikiliza wote mbowe na lisu.
Wamewaumbua madanga wa ccm na msigwa kwa kueleza wazi kabisa.hawa wanaosema lisu kasema hivyo ni madanga wa ccm na msigwa
 
BADO HUJAKATA TAMAA
 
Nimewasikiliza wote mbowe na lisu.
Wamewaumbua madanga wa ccm na msigwa kwa kueleza wazi kabisa.hawa wanaosema lisu kasema hivyo ni madanga wa ccm na msigwa
Ina maana sonofobia mleta hoja hapa jukwaani ni danga na chawa wa CCM...?

Ndiyo maana "content" ya hoja yake iliyobebwa na kichwa cha habari zinasigana na matashi ya Tundu Lissu ktk video aliyoposti yeye mwenyewe...!

Hawa chawa wa CCM muda wote wanakodoa macho kutafuta makosa ya kuonesha kuwa ndani ya CHADEMA kuna mfarakano....
 
Lissu kwa sasa ndo turufu pekee chadema, chadema ikiendelea kung'ang'ana na mbowe watajimaliza wenyewe.
Wakijimaliza ndo vizuri mfurai.mnasema mbowe kapelea wakati huo huo mnapora uchaguzi ata wa mtaa.sasa hapo ni mwenyekiti wa chama gani atoshii?.Na ndo maana kellele nyingi za mbowe zinatoka kwa maccm.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…