Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Tumia akili kwa kila unachokiandika.Utachekwa.Ameitwa msaliti na chadema wenzio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia akili kwa kila unachokiandika.Utachekwa.Ameitwa msaliti na chadema wenzio
Huo ndio uwanaumeLissu amefunguka mbele ya wanahabari kuwa haogopi kuitwa msaliti kwa kuwa anatembea na risasi mgongoni hawezi kuogopa maneno ya mitandaoni.
Leo amesema hayo mbele ya Mbowe.
Kumbuka maneno ya kumuita Lissu msaliti yanadaiwa kutolewa na kiongozi mkubwa kwenye chama kwenye CHADEMA majibizano Whatsapp. Niliwai kuweka hapa hizo conversations lakini mods walizifuta. Leo Lissu amejibu mashambulizi ya yule kijana wa Mbowe anaeuza mayai
View attachment 3173732
Baada ya miaka 5 si kuna uchaguzi, kwann ichapishwe fomu moja tu wakati katiba ya ccm haisemi hivyo?Mwenyekiti/Rais chini ya CCM ni mwiko kuhudumu kwa zaidi ya miaka kumi au misimu miwili ya kiutawala madarakani.
Aliyemuita msaliti ni Magufuli, acha uchonganishi.Lissu amefunguka mbele ya wanahabari kuwa haogopi kuitwa msaliti kwa kuwa anatembea na risasi mgongoni hawezi kuogopa maneno ya mitandaoni.
Leo amesema hayo mbele ya Mbowe.
Kumbuka maneno ya kumuita Lissu msaliti yanadaiwa kutolewa na kiongozi mkubwa kwenye chama kwenye CHADEMA majibizano Whatsapp. Niliwai kuweka hapa hizo conversations lakini mods walizifuta. Leo Lissu amejibu mashambulizi ya yule kijana wa Mbowe anaeuza mayai
View attachment 3173732
Kumbuka CHADEMA wote hatuna uwezo wa kuchukua uenyekiti, vinginevyo tungebadilisha pia. CDM kuna demokrasia sanaMbona chairpasonel wa CCM Tumeshabadilisha mara chungu nzima
Tatizo la wanachadema wengi wanaihubiri demokrasia bila kujua maana yake...
Haahaa ndo maana ya chama Cha mapinduzi, demokrasia ni msamiatiBaada ya miaka 5 si kuna uchaguzi, kwann ichapishwe fomu moja tu wakati katiba ya ccm haisemi hivyo?
Wewe punguani lisu amesema hivi:-Lissu amefunguka mbele ya wanahabari kuwa haogopi kuitwa msaliti kwa kuwa anatembea na risasi mgongoni hawezi kuogopa maneno ya mitandaoni.
Leo amesema hayo mbele ya Mbowe.
Kumbuka maneno ya kumuita Lissu msaliti yanadaiwa kutolewa na kiongozi mkubwa kwenye chama kwenye CHADEMA majibizano Whatsapp. Niliwai kuweka hapa hizo conversations lakini mods walizifuta. Leo Lissu amejibu mashambulizi ya yule kijana wa Mbowe anaeuza mayai
View attachment 3173732
Lakini neno "msaliti" umelipachika mwenyewe wala halijatoka mdomoni mwa Tundu Lissu...Ameitwa msaliti na chadema wenzio
Huyu ni kibaraka lisu amesema haogopi mawe ya mitandaoni kwa sababu hata sasa anatembea na risasi mgongoni.na kasema magufuli alimwita msaliti na akatuma watu kumpiga risasi so haogozi mambo ya kijinga mitandaoni.Weka hiyo video ya lisu usijekuta na wewe ni kiraka tu[emoji848]
Nimewasikiliza wote mbowe na lisu.Lakini neno "msaliti" umelipachika mwenyewe wala halijatoka mdomoni mwa Tundu Lissu...
Wote tumefuatilia Press Conference ile mwanzo mwisho na kila kilichotoka mdomoni mwa M/Kiti FB na makamu wake TL kimesikika na kueleweka vyema...
Infact wana CCM wanafanya kila njia kujenga picha ya mtafaruku ndani ya CHADEMA
Lakini kwa mkutano wa leo, honestly sijaona ugomvi wala dalili za ugomvi wowote kati ya mwenyekiti FM na makamu wake TL...
All in all, confidence ya mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe ya alivyojibu maswali ya "hamuelewani na makamu wako" na "lini utastaafu uenyekiti, miaka 20 imekutosha" ndiyo iliyonifurahisha na imeonesha kwa wazi sana kuwa huyu jamaa ni kiongozi haswaaa....!
BADO HUJAKATA TAMAALissu amefunguka mbele ya wanahabari kuwa haogopi kuitwa msaliti kwa kuwa anatembea na risasi mgongoni hawezi kuogopa maneno ya mitandaoni.
Leo amesema hayo mbele ya Mbowe.
Kumbuka maneno ya kumuita Lissu msaliti yanadaiwa kutolewa na kiongozi mkubwa kwenye chama kwenye CHADEMA majibizano Whatsapp. Niliwai kuweka hapa hizo conversations lakini mods walizifuta. Leo Lissu amejibu mashambulizi ya yule kijana wa Mbowe anaeuza mayai
View attachment 3173732
Ina maana sonofobia mleta hoja hapa jukwaani ni danga na chawa wa CCM...?Nimewasikiliza wote mbowe na lisu.
Wamewaumbua madanga wa ccm na msigwa kwa kueleza wazi kabisa.hawa wanaosema lisu kasema hivyo ni madanga wa ccm na msigwa
Wakijimaliza ndo vizuri mfurai.mnasema mbowe kapelea wakati huo huo mnapora uchaguzi ata wa mtaa.sasa hapo ni mwenyekiti wa chama gani atoshii?.Na ndo maana kellele nyingi za mbowe zinatoka kwa maccm.Lissu kwa sasa ndo turufu pekee chadema, chadema ikiendelea kung'ang'ana na mbowe watajimaliza wenyewe.
Lakini neno "msaliti" umelipachika mwenyewe wala halijatoka mdomoni mwa Tundu Lissu...
Wote tumefuatilia Press Conference ile mwanzo mwisho na kila kilichotoka mdomoni mwa M/Kiti FB na makamu wake TL kimesikika na kueleweka vyema...
Infact wana CCM wanafanya kila njia kujenga picha ya mtafaruku ndani ya CHADEMA
Lakini kwa mkutano wa leo, honestly sijaona ugomvi wala dalili za ugomvi wowote kati ya mwenyekiti FM na makamu wake TL...
All in all, confidence ya mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe ya alivyojibu maswali ya "hamuelewani na makamu wako" na "lini utastaafu uenyekiti, miaka 20 imekutosha" ndiyo iliyonifurahisha na imeonesha kwa wazi sana kuwa huyu jamaa ni kiongozi haswaaa....!
Anataka kugombea uenyekiti.Kwa nini ameitwa msaliti?