Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Tundu Lissu hataki ajira, anataka maridhiano ya kitaifa. Ajira is just employment, maridhianobya kitaifa ni uwanja mpana, unafika hadi kwenye kupata tume huru ya uchaguzi ambayo haijaundwa na Mwenyekiti wa CCMKwani ile offer pale Ikungi haikuwa kwa maslahi ya taifa?
Sasa figisu zote mlizofanya zilikuwa za nini? Kama mlikuwa mna uhakika kwamba ameshindwa?Hakuna mseto Wala dengu
Huwezi kuzungumzia maridhiano wakati unadai humtambui Rais
Lissu alishindwa tokea siku aliporudi toka ubelgiji,wenye akili waling'amua Hilo Kiki ilipobuma
Acha ngonjera za kitoto, umemsikia alivojibu VOA?
Alikwambia anataka ajira? Alisema Nduli Kayafa arudishe moyo nyuma warudi kwenye maridhiano ya kitaifa. Haya Ni dakika ya ngapi aliposema anaomba ajira?Acha ngonjera za kitoto, umemsikia alivojibu VOA?
hivi Ubelgiji alienda kwa mtumbwi?Hiyo kazi aliyoahidiwa na Magufuli
Atakuwa anaikumbuka kwa mbalii...
We unakuja kuwadanganya wananchi unawaambia reli,ndege hazina maana..lazima watakunyima kura tu.
Hivi huko Ubelgiji anafundisha twisheni au anafanya kazi ndani?Alikwambia anataka ajira? Alisema Nduli Kayafa arudishe moyo nyuma warudi kwenye maridhiano ya kitaifa. Haya Ni dakika ya ngapi aliposema anaomba ajira?
Lissu anaomba maridhiano ya nini?Alikwambia anataka ajira? Alisema Nduli Kayafa arudishe moyo nyuma warudi kwenye maridhiano ya kitaifa. Haya Ni dakika ya ngapi aliposema anaomba ajira?
Kama umesoma vizuri na kuelewa nilichosema sidhani kama ungesema hivyo.Ila kwa vile wewe ni "die hard" hakuna jinsi,huwezi elewa.Endelea hivyo hivyo kwani upumbavu ni sehemu ya sifa za die hards. It will take a century for guys like you to come to your senses.SHIT!Non sense, yaani Tanzania ipasuke kisa Chadema na Act wazalendo wamekosa wabunge? Hivi kama watanzania wamedhurumiwa wangekaa kimya. Pumbavu zako, wewe usitusemee watanzania tuna akili zetu.
Mkuu we hujasikia kwamba tayari ICC washapokea maombi 2? Na tunasikia bado la 3 wiki hii.Unaumwa?
Lissu aendele na matibabu, bado ana tatizo kwenye kichwaLissu anatia huruma sana dunia imempuuza mapema sana
Duhhhh....😲😲Mkuu kumshauli lissu ni kupoteza muda, huyu mtu analaana ya asili,nadhani hata siku ya kifo chake kaburi lake litamtema
Maridhiano sio ajira.Mkuu soma vizuri andiko langu, kama alishawahi kusema hawezi kukubali kazi atakayopewa na JPM,je anataka maridhiano gani?
Lisu aendele na matibabu, bado ana tatizo kwenye kichwa
We ulitaka aongelee nini...mbege au...maendeleo yanatafsiri pana...hauwezi ukaja kuwaambia wananchi maendeleo ni uhuru wa vyombo vya habari...wakati hizo ni elements ndogo sana kwenye dhana ya maendeleo...nyie chadema mkae mjitathimini na sera zenuChama kimoja kimeongoza miaka 59 lakini hoja zake kwenye kuomba kura ni elimu, afya na maji? What a shame !
Sasa kama ndege na reli zimesaidia mbona ajira zimezidi kuwa ngumu na wakati miradi ndo kama hiyo? Au pato dogo?
Kwani unateseka changu?Wakati wa kampeni alipokuwa Ikungi district, nyumbani kwao na aliyekuwa mgombea wa Chadema rais Magufuli alitamka maneno ya msingi sana ambayo yalionyesha nia yake ya kutaka maridhiano na wapinzani...
Kapanda bombadia chapHivi huko Ubelgiji anafundisha twisheni au anafanya kazi ndani?