TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Watu wakiambiwa Tanzania ni kubwa hawaelewi, yawezekana mfano wa Antipasu Lissu utawafanya waelewe ukubwa wa Tanzania.
Tatizo mnalazimisha madaraka ilihali wananchi wamewakataa. Lissu mwenyewe kakili kuwa wananchi walipuuza wito wake wa maandamano; hii inadhihirisha walimpuuza hata katika kumpigia kura. Sasa anataka maridhiano gani au serikali gani ya mseto? Kwani hamjui ukishindwa unasubiri uchaguzi mwingine? Hakuna mkato wa kushika madaraka tulieni hamtoshi.Maridhiano maana nyingine ni makubaliano na (siyo kuomba kazi)...
Hakuna upole usioendana na unyenyekevuMaridhiano maana nyingine ni makubaliano na (siyo kuomba kazi)..
Lissu alijiamini sana kuwa angeshinda uchaguzi pale walipoiba kuraWakati wa kampeni alipokuwa Ikungi district, nyumbani kwao na aliyekuwa mgombea wa Chadema rais Magufuli alitamka maneno ya msingi sana ambayo yalionyesha nia yake ya kutaka maridhiano na wapinzani...
Ukiingia lumumba tuu akili anabaki nazo mlinzi. Ndiyo maana vijana hawana kabisa uwezo wa kutafakari na kuleta maendeleo makubwa nchini, even after 100 years. Wao wanajua mambo machache kama mabeberu, mashoga, wazalendo basi.Maridhiano maana nyingine ni makubaliano na (siyo kuomba kazi)...
chagu . Mnajua kucheza na akili za Watanzania wengi wasiojielewa. Mfumo wa elimu wa nchi hii imeongeza mazezeta yasioweza hata kuhoji !!Wakati wa kampeni alipokuwa Ikungi district, nyumbani kwao na aliyekuwa mgombea wa Chadema rais Magufuli alitamka maneno ya msingi sana ambayo yalionyesha nia yake ya kutaka maridhiano na wapinzani..
Acha matusi mkuu !!. Wewe unajiita mTanzania, je hao Cdm na ACT siyo waTanzania ?!.Non sense, yaani Tanzania ipasuke kisa Chadema na Act wazalendo wamekosa wabunge? Hivi kama watanzania wamedhurumiwa wangekaa kimya. Pumbavu zako, wewe usitusemee watanzania tuna akili zetu.
Wamekosa ama wamekoseshwa ?!. Haya mambo ndiyo ya kujadiliwaJaduong hapo matusi yapo wapi? Nchi hii ina mpasuko gani? Act wazalendo na Chadema kukosa wabunge ndio mpasuko. Watanzania wanasonga mbele na maisha ya kawaida.
Chagu. Rafiki yangu hujiulizi chama kilichopata mbunge moja wa Jimbo . KinapataJe viti maalumu karibu 20 !!. Uwizi mwingine wa kijinga .Wamekoseshwa vipi? Kwa hizo picha za kutengeneza,ahaaaa, hakuna ushahidi juu ya hili. Ndio maana hata wananchi waliwapuuza, mlipotaka waandamane.
Ndiyo ndiyo ninyi mliopunguzwa akili na mapepo ya CCM. Mnaifanya nchi hii kama yenu na wapinzani ni wakimbizi.Serikali ya mseto kwa katiba ya Chadema!... Pole sana
Kwani sasa ipo Tanzania aliyoiacha Nyerere?Non sense, yaani Tanzania ipasuke kisa CHADEMA na Act wazalendo wamekosa wabunge? Hivi kama watanzania wamedhurumiwa wangekaa kimya. Pumbavu zako, wewe usitusemee watanzania tuna akili zetu.
Msio na akili mlijua hilo,wenye akili waliju atashinda na alishinda kwa sunami,wananchi wote wanajua hili na Dunia inajua hivo.Hakuna mseto Wala dengu
Huwezi kuzungumzia maridhiano wakati unadai humtambui Rais
Lissu alishindwa tokea siku aliporudi toka ubelgiji,wenye akili waling'amua Hilo Kiki ilipobuma