Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
CHADEMA mnaweweseka eti kurudia uchaguzi au serikali ya mseto! Yaani bado mnawaza kuwa serikali? Labda serikali ya shehe Ponda aliyewaambia Lissu atakuwa rais October na ameshinda anasubiri kuapishwa tu.Maridhiano maana nyingine ni makubaliano na (siyo kuomba kazi)...
Nitamuombea Kiongozi wetu wa nchi kwa Mungu wa kweli na wa haki pale atakapoinda tume ya watu mashuhuri wa ndani na nje ili kuwabaini Wasimamizi wa uchaguzi na watu wote walikutwa na kura feki waliovuruga uchaguzi.Mkuu kumshauli lissu ni kupoteza muda, huyu mtu analaana ya asili,nadhani hata siku ya kifo chake kaburi lake litamtema
Sawa hatujitambui,ila ndio hivyo tutaendelea kumshabikia na kumuunga mkono😁😁😁!Kwani shi ngapi bhana?Tunawapa somo vijana waliokuwa wanapoteza muda kumshabikia wajue kuwa hawajitambui
Unangoja nini kuanzisha hiyo harambee ya kumlipa Lissu?Magufuli mnamuona kama mungu. Yani akili yako inafikiri lissu hawezi ishi bila mshahara wa magufuli. Leo hii lisu akisema tuwe tunampa mshahara kila mwezi kwa michango anaweza pata pesa mara 20 ya mshahara wa magufuli kila mwezi.
Kapanda maendeleo ya vituhivi Ubelgiji alienda kwa mtumbwi?
Labda dunia yako na mumeo hapo nyumbani.Lissu anatia huruma sana dunia imempuuza mapema sana
Ni wapi amesema anataka maridhiano.Wakati wa kampeni alipokuwa Ikungi district, nyumbani kwao na aliyekuwa mgombea wa Chadema rais Magufuli alitamka maneno ya msingi sana ambayo yalionyesha nia yake ya kutaka maridhiano na wapinzani...
Uyo anafikiri Tanzania kupasuka ni kama kikombe cha udongo vile.Kama umesoma vizuri na kuelewa nilichosema sidhani kama ungesema hivyo.Ila kwa vile wewe ni "die hard" hakuna jinsi,huwezi elewa.Endelea hivyo hivyo kwani upumbavu ni sehemu ya sifa za die hards. It will take a century for guys like you to come to your senses.SHIT!
Wewe kweli huelewi kituReconciliation juu ya kitu gani? kwa mtu ambaye hauko tayari kufanya nae kazi.
Wewe sio mpumbavu ni mjinga.
Mkuu kumshauli lissu ni kupoteza muda, huyu mtu analaana ya asili,nadhani hata siku ya kifo chake kaburi lake litamtema
Unaikumbuka Cuf Ngangari ya 2000? Kuna tofauti na yanayotokea leo? Haya yote ni sababu ya watu kutokubali matokeo. Nyumba kuchomwa ni uhalifu wa watu wasiojua ustahimilivu wa siasa,wanadhani kugombea ninkushinda, kama umeahindwa isivyo halali kwa nini usiende mahakamani?
Lissu yupo Ulaya wewe hata nauli ya daladala ni changamoto, kwanini wewe usipewe hiyo kazi?Wakati wa kampeni alipokuwa Ikungi district, nyumbani kwao na aliyekuwa mgombea wa Chadema rais Magufuli alitamka maneno ya msingi sana ambayo yalionyesha nia yake ya kutaka maridhiano na wapinzani...
Kwa akili za kawaida tu,hizo picha zinathibitisha nini? Hayo makaratasi ya kupigia kura unaweza kuyahakiki kwa kutumia picha kama hii? Hivi kweli kwa kuweka picha kama hizi utamshawishi nani huu upuuzi?
Mkuu kumshauli lissu ni kupoteza muda, huyu mtu analaana ya asili,nadhani hata siku ya kifo chake kaburi lake litamtema
Mngekua na uwezo huo wa kuumpa Lissu Mshahara kila mwisho wa mwezi,asinge enda tia huruma kwa Wazungu huko! Lissu kinachomsumbua ni njaa tu, hakuna kingine!Magifuli mnamuona kama mungu. Yani akili yako inafikiri lissu hawezi ishi bila mshahara wa magufuli. Leo hii lisu akisema tuwe tunampa mshahara kila mwezi kwa michango anaweza pata pesa mara 20 ya mshahara wa magufuli kila mwezi.