Lissu, the grace period is over. Unataka maridhiano ya nini?

Watu wakiambiwa Tanzania ni kubwa hawaelewi, yawezekana mfano wa Antipasu Lissu utawafanya waelewe ukubwa wa Tanzania.
 
T
Maridhiano maana nyingine ni makubaliano na (siyo kuomba kazi)...
Tatizo mnalazimisha madaraka ilihali wananchi wamewakataa. Lissu mwenyewe kakili kuwa wananchi walipuuza wito wake wa maandamano; hii inadhihirisha walimpuuza hata katika kumpigia kura. Sasa anataka maridhiano gani au serikali gani ya mseto? Kwani hamjui ukishindwa unasubiri uchaguzi mwingine? Hakuna mkato wa kushika madaraka tulieni hamtoshi.
 
Wakati wa kampeni alipokuwa Ikungi district, nyumbani kwao na aliyekuwa mgombea wa Chadema rais Magufuli alitamka maneno ya msingi sana ambayo yalionyesha nia yake ya kutaka maridhiano na wapinzani...
Lissu alijiamini sana kuwa angeshinda uchaguzi pale walipoiba kura
 
Maridhiano maana nyingine ni makubaliano na (siyo kuomba kazi)...
Ukiingia lumumba tuu akili anabaki nazo mlinzi. Ndiyo maana vijana hawana kabisa uwezo wa kutafakari na kuleta maendeleo makubwa nchini, even after 100 years. Wao wanajua mambo machache kama mabeberu, mashoga, wazalendo basi.
 
Wakati wa kampeni alipokuwa Ikungi district, nyumbani kwao na aliyekuwa mgombea wa Chadema rais Magufuli alitamka maneno ya msingi sana ambayo yalionyesha nia yake ya kutaka maridhiano na wapinzani..
chagu . Mnajua kucheza na akili za Watanzania wengi wasiojielewa. Mfumo wa elimu wa nchi hii imeongeza mazezeta yasioweza hata kuhoji !!

1. Watu wako ktkt ya campaign . Anatokea mgombea moja anajiona ana haki kumshinda mgombea mwenziye ?!. WaTz ni wanafiki sana !!. Chaguzi maana yake nini kama ni lazima mgombea wa Ccm ashinde!.

Lissu na viongozi karibu wote wa upinzani wameongelea maridhiano. Kwa sababu chaguzi Tanzania zina leta chuki nyingi, kesi nyingi, hata mauaji . Jambo ambalo si lengo lake . Hebu jielewe basi [emoji850][emoji56]
 
Non sense, yaani Tanzania ipasuke kisa Chadema na Act wazalendo wamekosa wabunge? Hivi kama watanzania wamedhurumiwa wangekaa kimya. Pumbavu zako, wewe usitusemee watanzania tuna akili zetu.
Acha matusi mkuu !!. Wewe unajiita mTanzania, je hao Cdm na ACT siyo waTanzania ?!.
 
CCM imeekeza kwa wajinga, nikikumbuka mwaka jana walipokuwa wanasifia eti magu amepewa uenyekiti wa SADC mana anapiga sana kazi, mpaka gazet la uhuru linaandika, nikathibitisha CCM imeekeza kwa wajinga na hao ndo wanawapa habar zao
 
Wamekoseshwa vipi? Kwa hizo picha za kutengeneza,ahaaaa, hakuna ushahidi juu ya hili. Ndio maana hata wananchi waliwapuuza, mlipotaka waandamane.
Chagu. Rafiki yangu hujiulizi chama kilichopata mbunge moja wa Jimbo . KinapataJe viti maalumu karibu 20 !!. Uwizi mwingine wa kijinga .

Wananchi hawakupuuza maandamano bali kumekucha asubuhi wanakuta wamezungukwa na maaskari walio tayari kufanya uhuni si bora kuacha kuliko shari
 
Non sense, yaani Tanzania ipasuke kisa CHADEMA na Act wazalendo wamekosa wabunge? Hivi kama watanzania wamedhurumiwa wangekaa kimya. Pumbavu zako, wewe usitusemee watanzania tuna akili zetu.
Kwani sasa ipo Tanzania aliyoiacha Nyerere?
Hata aliyoiacha Kikwete haipo.
Kinachonipa shida ni kwamba,ninyi mnaolamba makalio kwanini mmejicha kwenye majina feki?

Sisi tunaogopa wanaojulikana,ninyi mnaogopa wasiojulikana?
 
Hakuna mseto Wala dengu
Huwezi kuzungumzia maridhiano wakati unadai humtambui Rais
Lissu alishindwa tokea siku aliporudi toka ubelgiji,wenye akili waling'amua Hilo Kiki ilipobuma
Msio na akili mlijua hilo,wenye akili waliju atashinda na alishinda kwa sunami,wananchi wote wanajua hili na Dunia inajua hivo.

Kutokuitambua Serikali ya CCM ndiyo point inayotakiwa isimamiwe kufanya maridhiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…