Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Mheshimiwa Lissu
Mara kadhaa tumekusikia ukizungumza kuhusu Deusdedith Soka kwa mafumbo lakini ukiimply kuwa Soka hatunaye tena duniani.
Kwenye hotuba yako ya mwaka mpya ulimtaja Soka kwa kauli isiyo direct ambayo inaweza kutsfsiriwa kuwa Soka kauawa.
Na leo kwenye mkutano wa BAVICHA umezungumza kuwa kijiti cha mapambano alichokuwa anakishikilia Soka kimedondoka. Je unamaanisha kuwa Soka hatunaye tena?.
Nimewajibika kuuliza kwa sababu Mwenyekiti wa chama ndugu Mbowe siku hizi hataji kabisa kuhusu Ben Saanane, Soka na wengine wote waliopotezwa au kuuawa na mfumo huu. Ni kama hana interests kutaja majina hayo.
Ndugu Lissu, tuweke wazi Je Soka kauawa?