Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu akueleze bila mafumbo kama Soka kauawa, kwani Lissu ndiye aliyemteka?Mheshimiwa Lissu
Mara kadhaa tumekusikia ukizungumza kuhusu Deusdedith Soka kwa mafumbo lakini ukiimply kuwa Soka hatunaye tena duniani.
Kwenye hotuba yako ya mwaka mpya ulimtaja Soka kwa kauli isiyo direct ambayo inaweza kutsfsiriwa kuwa Soka kauawa.
Na leo kwenye mkutano wa BAVICHA umezungumza kuwa kijiti cha mapambano alichokuwa anakishikilia Soka kimedondoka. Je unamaanisha kuwa Soka hatunaye tena?.
Nimewajibika kuuliza kwa sababu Mwenyekiti wa chama ndugu Mbowe siku hizi hataji kabisa kuhusu Ben Saanane, Soka na wengine wote waliopotezwa au kuuawa na mfumo huu. Ni kama hana interests kutaja majina hayo.
Ndugu Lissu, tuweke wazi Je Soka kauawa?
Sahihi kabisaKwani Lissu anapomtajataja Soka inamsaidia nini Soka au familia yake zaidi tu ya kutumia kinafiki ili kupata public support?
Sahihi kabisaHapo vijana tuna la kujifunza tuache kujitoa kwa siasa chafu zinazoshibisha viongozi matumbo yao.!!
Mpe mbinu hiyo ya timing atakushukuru.Kumchinja kombe kaka ni timing...
Hapo fumbo kwako ni kufariki kwa soccer au aina ya kifo chake? Maana naona na wewe umeweka fumbo!Mheshimiwa Lissu
Mara kadhaa tumekusikia ukizungumza kuhusu Deusdedith Soka kwa mafumbo lakini ukiimply kuwa Soka hatunaye tena duniani.
Kwenye hotuba yako ya mwaka mpya ulimtaja Soka kwa kauli isiyo direct ambayo inaweza kutsfsiriwa kuwa Soka kauawa.
Na leo kwenye mkutano wa BAVICHA umezungumza kuwa kijiti cha mapambano alichokuwa anakishikilia Soka kimedondoka. Je unamaanisha kuwa Soka hatunaye tena?.
Nimewajibika kuuliza kwa sababu Mwenyekiti wa chama ndugu Mbowe siku hizi hataji kabisa kuhusu Ben Saanane, Soka na wengine wote waliopotezwa au kuuawa na mfumo huu. Ni kama hana interests kutaja majina hayo.
Ndugu Lissu, tuweke wazi Je Soka kauawa?
Acha uwoga ndugu. Unadhani kuna siku ccm watakuambia kuwa wameyachoka madaraka?Lissu anaingiza vijana wengi chaka kuwapeleka vitani bila kuwapatia nyezo muhimu za mapambano. Ni mwanaharakati asijejua timing.
Kuwatoa CCM madarakani kunahitaji timing na si maguvu- wanakumaliza wale jamaa wana hasara gani.
Mwenyekiti acc yake ya dubai imetunaMimi kinachoniuma zaidi ni Chadema kuacha kulifanya hili suala la kutekwa akina Soka kama Ajenda ya kuinyima usingizi serikali. Yaani wamepiga kelele miezi michache sasa hivi wameacha wanaendelea na shughuli zao kama kawaida. Yaani hakuna hata kapresha kadogo kutoka kwao wakati kada wao tena kiongozi wa vijana katekwa, kupotezwa na huenda keshadedishwa!
Kwa akili yako finyu unafikiri utawatoa CCM madarakani kwa kuwatawanya vijana mabarabarani? Unafikiri TZ ni sawa na Kenya ama Msumbiji?Acha uwoga ndugu. Unadhani kuna siku ccm watakuambia kuwa wameyachoka madaraka?
Huku kupotezwa raia sio haki kabisa.Mheshimiwa Lissu
Mara kadhaa tumekusikia ukizungumza kuhusu Deusdedith Soka kwa mafumbo lakini ukiimply kuwa Soka hatunaye tena duniani.
Kwenye hotuba yako ya mwaka mpya ulimtaja Soka kwa kauli isiyo direct ambayo inaweza kutsfsiriwa kuwa Soka kauawa.
Na leo kwenye mkutano wa BAVICHA umezungumza kuwa kijiti cha mapambano alichokuwa anakishikilia Soka kimedondoka. Je unamaanisha kuwa Soka hatunaye tena?.
Nimewajibika kuuliza kwa sababu Mwenyekiti wa chama ndugu Mbowe siku hizi hataji kabisa kuhusu Ben Saanane, Soka na wengine wote waliopotezwa au kuuawa na mfumo huu. Ni kama hana interests kutaja majina hayo.
Ndugu Lissu, tuweke wazi Je Soka kauawa?
Ukimya wa Chadema kuhusu hili suala unasikitisha.Mimi kinachoniuma zaidi ni Chadema kuacha kulifanya hili suala la kutekwa akina Soka kama Ajenda ya kuinyima usingizi serikali. Yaani wamepiga kelele miezi michache sasa hivi wameacha wanaendelea na shughuli zao kama kawaida. Yaani hakuna hata kapresha kadogo kutoka kwao wakati kada wao tena kiongozi wa vijana katekwa, kupotezwa na huenda keshadedishwa!
Kwahiyo unadhani kwa Mbowe kuwa anapokea hela ya Abdul ndiyo ccm itaondoka??Kwa akili yako finyu unafikiri utawatoa CCM madarakani kwa kuwatawanya vijana mabarabarani? Unafikiri TZ ni sawa na Kenya ama Msumbiji?
we unamwamini ropo? wakati anapokea ropo mwenyewe alikuwepo?Kwahiyo unadhani kwa Mbowe kuwa anapokea hela ya Abdul ndiyo ccm itaondoka??
Unamwamini Nkurunzinza wa Machame?we unamwamini ropo? wakati anapokea ropo mwenyewe alikuwepo?
Si aliitisha maandamano mkamwacha aandamane na binti yake!! 🤣🤣 ila nyinyi nyumbu nikiboko sana, makamanda wa kwenye social media tu. Jinsi mnavyopiga kelele huku kwenye social media utafikiri nchi haitawaliki kumbe mitaani watz hawana habari na nyinyi kabisa watz wanaendelea na maisha yao kama kawaida. Walioko nje ya nchi wanaweza kusema TZ inawaka moto 🤣🤣🤣!!Mimi naamini kama Mbowe angelifanya suala la akina Soka kuwa ni ajenda ya kuamka nayo, kushinda nayo, kulala nayo kuzunguuka nayo. Kila Interview unapiga kelele, kuomba viongozi wa dini wamuombee, kuomba kuongea na mabalozi waingilie kati bila kuchoka, Lazima ishu ingeielemea serikali.
Lakimi Mwenyekiti wa Chama yupoyupo tu utadhani hakuna kilichotokea.
Mbowe alipokuwa Jela Raia kila siku walikuwa wanamzungumzia yeye, daily daily daily mpaka serikali ikaona joto limekuwa kubwa. Sasa inakuwaje Mbowe kapiga kimya tu?
Usiwe mjinga, suala la utekaji na athari zake ni kwa taifa zima, akili zako zinadhani wanaoumia ni Chadema peke yaoMimi kinachoniuma zaidi ni Chadema kuacha kulifanya hili suala la kutekwa akina Soka kama Ajenda ya kuinyima usingizi serikali. Yaani wamepiga kelele miezi michache sasa hivi wameacha wanaendelea na shughuli zao kama kawaida. Yaani hakuna hata kapresha kadogo kutoka kwao wakati kada wao tena kiongozi wa vijana katekwa, kupotezwa na huenda keshadedishwa!
Wote nyie ni team ropo na ndiyo maana mnakwenda kuchapwa mapemaa.Unamwamini Nkurunzinza wa Machame?
Lissu akueleze bila mafumbo kama Soka kauawa, kwani Lissu ndiye aliyemteka?
Mbona mnampa Lissu kazi ya kujua mambo ambayo inaonekana hayupo katika nafasi ya kuyajua?
Kwa nini huwaulizi Polisi watu wenye dhamana hii? Kwa nini humuulizi Samia mkuu wa nchi?
Lissu ni mwanasheria, anaenda kwa ushahidi, kama jambo hili halina ushahidi wa kuonesha Soka kauawa unataka Lissu akurupuke na kusema kauawa kukufurahisha wewe tu?
Lugha gani ya Lissu ina imply Soka kauawa?Uwaulize Njagu wakati Mbowe alisema wao ndiyo waliomteka lakini wanakana. Unategemea perpetrators wakupe jibu gani?.
Tumemuuliza Lissu kwa sababu ameingea mara kadhaa kwa lugha inayoimply Soka kauawa, tunataka tujue anachokijua kuhusu hao vijana. Polisi hawaaminiki