Lissu tueleze bila mafumbo Je Deusdedith Soka kauawa?

Lissu tueleze bila mafumbo Je Deusdedith Soka kauawa?

Lugha gani ya Lissu ina imply Soka kauawa?

Weka audio au video ya Lissu akitoa hayo maneno tuhukumu wenyewe bila kutegemea tafsiri yako.

1. Tafuta speech yake ya mwaka mpya
2. Tafuta speech yake kwenye mkutano mkuu wa BAVICHA leo
 
1. Tafuta speech yake ya mwaka mpya
2. Tafuta speech yake kwenye mkutano mkuu wa BAVICHA leo
Hapana.

Wewe uliyeleta dai kwamba kuna hizo speeches ndiye mwenye wajibu wa kuziweka hapa, tena uweke mpaka na dakika aliyosema hayo maneno.

Usinipe mimi kazi ya kukutolea wewe ushahidi kwenye kesi ya madai yako.
 
Mimi naamini kama Mbowe angelifanya suala la akina Soka kuwa ni ajenda ya kuamka nayo, kushinda nayo, kulala nayo kuzunguuka nayo. Kila Interview unapiga kelele, kuomba viongozi wa dini wamuombee, kuomba kuongea na mabalozi waingilie kati bila kuchoka, Lazima ishu ingeielemea serikali.

Lakimi Mwenyekiti wa Chama yupoyupo tu utadhani hakuna kilichotokea.

Mbowe alipokuwa Jela Raia kila siku walikuwa wanamzungumzia yeye, daily daily daily mpaka serikali ikaona joto limekuwa kubwa. Sasa inakuwaje Mbowe kapiga kimya tu?
Mbowe ni kama hajali maisha ya vijana wa CHADEMA. Hata Ben Saanane Kabendera ndiye aliyetufungua macho kuwa aliuawa na Magufuli. Hili Mbowe huenda alilijua vizuri lakini hasemi. Kina Soka kuna watu wanasema kuwa kabla hawajachukuliwa kuna watu wa usalama walikuwa wanakwenda makao makuu na kuwatishia kina Soka chini ya usimamizi wa uongozi wa Chadema.
 
Mheshimiwa Lissu

Mara kadhaa tumekusikia ukizungumza kuhusu Deusdedith Soka kwa mafumbo lakini ukiimply kuwa Soka hatunaye tena duniani.

Kwenye hotuba yako ya mwaka mpya ulimtaja Soka kwa kauli isiyo direct ambayo inaweza kutsfsiriwa kuwa Soka kauawa.

Na leo kwenye mkutano wa BAVICHA umezungumza kuwa kijiti cha mapambano alichokuwa anakishikilia Soka kimedondoka. Je unamaanisha kuwa Soka hatunaye tena?.

Nimewajibika kuuliza kwa sababu Mwenyekiti wa chama ndugu Mbowe siku hizi hataji kabisa kuhusu Ben Saanane, Soka na wengine wote waliopotezwa au kuuawa na mfumo huu. Ni kama hana interests kutaja majina hayo.

Ndugu Lissu, tuweke wazi Je Soka kauawa?
Lissu anasema yeye hana serekali
 
Naona JOHN PAMBALU mwenyekiti wa BAVICHA anayemaliza muda wake naye kaconfirm ktk speech kuwa Soka kauawa. This is so sad.

Kwa nini Mwenyekiti hatoi kauli juu ya hili?.

Nimeshindwa kuupload video
 
Mimi naamini kama Mbowe angelifanya suala la akina Soka kuwa ni ajenda ya kuamka nayo, kushinda nayo, kulala nayo kuzunguuka nayo. Kila Interview unapiga kelele, kuomba viongozi wa dini wamuombee, kuomba kuongea na mabalozi waingilie kati bila kuchoka, Lazima ishu ingeielemea serikali.

Lakimi Mwenyekiti wa Chama yupoyupo tu utadhani hakuna kilichotokea.

Mbowe alipokuwa Jela Raia kila siku walikuwa wanamzungumzia yeye, daily daily daily mpaka serikali ikaona joto limekuwa kubwa. Sasa inakuwaje Mbowe kapiga kimya tu?
Watu kwa kujizima data, hamuwezekaniki. Hivi, unakumbuka yale maandamano ya hivi karibuni, ambayo Mbowe alikamatwa na mtoto wake, yalikuwa ni ya ujumbe gani? Kama mmemchoka huyu Bwana, boksi lipo wazi, mkamfurushe kwa kura! HATA VITAMU VINAKINAI!
 
Mimi kinachoniuma zaidi ni Chadema kuacha kulifanya hili suala la kutekwa akina Soka kama Ajenda ya kuinyima usingizi serikali. Yaani wamepiga kelele miezi michache sasa hivi wameacha wanaendelea na shughuli zao kama kawaida. Yaani hakuna hata kapresha kadogo kutoka kwao wakati kada wao tena kiongozi wa vijana katekwa, kupotezwa na huenda keshadedishwa!
Wanafikirisha sana.
 
Lissu anaingiza vijana wengi chaka kuwapeleka vitani bila kuwapatia nyezo muhimu za mapambano. Ni mwanaharakati asijejua timing.

Kuwatoa CCM madarakani kunahitaji timing na si maguvu- wanakumaliza wale jamaa wana hasara gani.
Wewe umefanya nini zaidi ya kujificha nyuma ya keyboard
 
Mbowe ni kama hajali maisha ya vijana wa CHADEMA. Hata Ben Saanane Kabendera ndiye aliyetufungua macho kuwa aliuawa na Magufuli. Hili Mbowe huenda alilijua vizuri lakini hasemi. Kina Soka kuna watu wanasema kuwa kabla hawajachukuliwa kuna watu wa usalama walikuwa wanakwenda makao makuu na kuwatishia kina Soka chini ya usimamizi wa uongozi wa Chadema.
Chadema imefeli sana kwenye hili
 
Back
Top Bottom