Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Mheshimiwa Lissu
Mara kadhaa tumekusikia ukizungumza kuhusu Deusdedith Soka kwa mafumbo lakini ukiimply kuwa Soka hatunaye tena duniani.
Kwenye hotuba yako ya mwaka mpya ulimtaja Soka kwa kauli isiyo direct ambayo inaweza kutsfsiriwa kuwa Soka kauawa.
Na leo kwenye mkutano wa BAVICHA umezungumza kuwa kijiti cha mapambano alichokuwa anakishikilia Soka kimedondoka. Je unamaanisha kuwa Soka hatunaye tena?.
Nimewajibika kuuliza kwa sababu Mwenyekiti wa chama ndugu Mbowe siku hizi hataji kabisa kuhusu Ben Saanane, Soka na wengine wote waliopotezwa au kuuawa na mfumo huu. Ni kama hana interests kutaja majina hayo.
Ndugu Lissu, tuweke wazi Je Soka kauawa?
Dikteta Mbowe.Mheshimiwa Lissu

Mbowe kaishiwaMimi kinachoniuma zaidi ni Chadema kuacha kulifanya hili suala la kutekwa akina Soka kama Ajenda ya kuinyima usingizi serikali. Yaani wamepiga kelele miezi michache sasa hivi wameacha wanaendelea na shughuli zao kama kawaida. Yaani hakuna hata kapresha kadogo kutoka kwao wakati kada wao tena kiongozi wa vijana katekwa, kupotezwa na huenda keshadedishwa!
Tabia ya kula huku na kule ya Mbowe ndiyo iliyogharimu maisha ya akina Soka.
Kwani Lissu anapomtajataja Soka inamsaidia nini Soka au familia yake zaidi tu ya kutumia kinafiki ili kupata public support?Mheshimiwa Lissu
Mara kadhaa tumekusikia ukizungumza kuhusu Deusdedith Soka kwa mafumbo lakini ukiimply kuwa Soka hatunaye tena duniani.
Kwenye hotuba yako ya mwaka mpya ulimtaja Soka kwa kauli isiyo direct ambayo inaweza kutsfsiriwa kuwa Soka kauawa.
Na leo kwenye mkutano wa BAVICHA umezungumza kuwa kijiti cha mapambano alichokuwa anakishikilia Soka kimedondoka. Je unamaanisha kuwa Soka hatunaye tena?.
Nimewajibika kuuliza kwa sababu Mwenyekiti wa chama ndugu Mbowe siku hizi hataji kabisa kuhusu Ben Saanane, Soka na wengine wote waliopotezwa au kuuawa na mfumo huu. Ni kama hana interests kutaja majina hayo.
Ndugu Lissu, tuweke wazi Je Soka kauawa?
Maoni yako ? Afanye nini ?Lissu anaingiza vijana wengi chaka kuwapeleka vitani bila kuwapatia nyezo muhimu za mapambano. Ni mwanaharakati asijejua timing.
Kuwatoa CCM madarakani kunahitaji timing na si maguvu- wanakumaliza wale jamaa wana hasara gani.
Kumchinja kombe kaka ni timing...Maoni yako ? Afanye nini ?