Lissu tueleze bila mafumbo Je Deusdedith Soka kauawa?

Itakuwa wamefia migodini labda kwa kuangukiwa na kifusi
 
Lissu akueleze bila mafumbo kama Soka kauawa, kwani Lissu ndiye aliyemteka?

Mbona mnampa Lissu kazi ya kujua mambo ambayo inaonekana hayupo katika nafasi ya kuyajua?

Kwa nini huwaulizi Polisi watu wenye dhamana hii? Kwa nini humuulizi Samia mkuu wa nchi?

Lissu ni mwanasheria, anaenda kwa ushahidi, kama jambo hili halina ushahidi wa kuonesha Soka kauawa unataka Lissu akurupuke na kusema kauawa kukufurahisha wewe tu?
 
Hapo fumbo kwako ni kufariki kwa soccer au aina ya kifo chake? Maana naona na wewe umeweka fumbo!
 
Lissu anaingiza vijana wengi chaka kuwapeleka vitani bila kuwapatia nyezo muhimu za mapambano. Ni mwanaharakati asijejua timing.

Kuwatoa CCM madarakani kunahitaji timing na si maguvu- wanakumaliza wale jamaa wana hasara gani.
Acha uwoga ndugu. Unadhani kuna siku ccm watakuambia kuwa wameyachoka madaraka?
 
Mwenyekiti acc yake ya dubai imetuna
 
Acha uwoga ndugu. Unadhani kuna siku ccm watakuambia kuwa wameyachoka madaraka?
Kwa akili yako finyu unafikiri utawatoa CCM madarakani kwa kuwatawanya vijana mabarabarani? Unafikiri TZ ni sawa na Kenya ama Msumbiji?
 
Huku kupotezwa raia sio haki kabisa.
 
Ukimya wa Chadema kuhusu hili suala unasikitisha.
 
Kwa akili yako finyu unafikiri utawatoa CCM madarakani kwa kuwatawanya vijana mabarabarani? Unafikiri TZ ni sawa na Kenya ama Msumbiji?
Kwahiyo unadhani kwa Mbowe kuwa anapokea hela ya Abdul ndiyo ccm itaondoka??
 
Si aliitisha maandamano mkamwacha aandamane na binti yake!! 🤣🤣 ila nyinyi nyumbu nikiboko sana, makamanda wa kwenye social media tu. Jinsi mnavyopiga kelele huku kwenye social media utafikiri nchi haitawaliki kumbe mitaani watz hawana habari na nyinyi kabisa watz wanaendelea na maisha yao kama kawaida. Walioko nje ya nchi wanaweza kusema TZ inawaka moto 🤣🤣🤣!!
 
Usiwe mjinga, suala la utekaji na athari zake ni kwa taifa zima, akili zako zinadhani wanaoumia ni Chadema peke yao
 

Uwaulize Njagu wakati Mbowe alisema wao ndiyo waliomteka lakini wanakana. Unategemea perpetrators wakupe jibu gani?.

Tumemuuliza Lissu kwa sababu ameingea mara kadhaa kwa lugha inayoimply Soka kauawa, tunataka tujue anachokijua kuhusu hao vijana. Polisi hawaaminiki
 
Lugha gani ya Lissu ina imply Soka kauawa?

Weka audio au video ya Lissu akitoa hayo maneno tuhukumu wenyewe bila kutegemea tafsiri yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…