Lissu tueleze bila mafumbo Je Deusdedith Soka kauawa?

Lugha gani ya Lissu ina imply Soka kauawa?

Weka audio au video ya Lissu akitoa hayo maneno tuhukumu wenyewe bila kutegemea tafsiri yako.

1. Tafuta speech yake ya mwaka mpya
2. Tafuta speech yake kwenye mkutano mkuu wa BAVICHA leo
 
1. Tafuta speech yake ya mwaka mpya
2. Tafuta speech yake kwenye mkutano mkuu wa BAVICHA leo
Hapana.

Wewe uliyeleta dai kwamba kuna hizo speeches ndiye mwenye wajibu wa kuziweka hapa, tena uweke mpaka na dakika aliyosema hayo maneno.

Usinipe mimi kazi ya kukutolea wewe ushahidi kwenye kesi ya madai yako.
 
Mbowe ni kama hajali maisha ya vijana wa CHADEMA. Hata Ben Saanane Kabendera ndiye aliyetufungua macho kuwa aliuawa na Magufuli. Hili Mbowe huenda alilijua vizuri lakini hasemi. Kina Soka kuna watu wanasema kuwa kabla hawajachukuliwa kuna watu wa usalama walikuwa wanakwenda makao makuu na kuwatishia kina Soka chini ya usimamizi wa uongozi wa Chadema.
 
Lissu anasema yeye hana serekali
 
Naona JOHN PAMBALU mwenyekiti wa BAVICHA anayemaliza muda wake naye kaconfirm ktk speech kuwa Soka kauawa. This is so sad.

Kwa nini Mwenyekiti hatoi kauli juu ya hili?.

Nimeshindwa kuupload video
 
Watu kwa kujizima data, hamuwezekaniki. Hivi, unakumbuka yale maandamano ya hivi karibuni, ambayo Mbowe alikamatwa na mtoto wake, yalikuwa ni ya ujumbe gani? Kama mmemchoka huyu Bwana, boksi lipo wazi, mkamfurushe kwa kura! HATA VITAMU VINAKINAI!
 
Wanafikirisha sana.
 
Lissu anaingiza vijana wengi chaka kuwapeleka vitani bila kuwapatia nyezo muhimu za mapambano. Ni mwanaharakati asijejua timing.

Kuwatoa CCM madarakani kunahitaji timing na si maguvu- wanakumaliza wale jamaa wana hasara gani.
Wewe umefanya nini zaidi ya kujificha nyuma ya keyboard
 
Chadema imefeli sana kwenye hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…