Pre GE2025 Lissu ukishashinda uchaguzi wa uenyekiti, tuombe radhi kwa kumtukana Hayati Magufuli tukupe nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Joined
Dec 15, 2022
Posts
18
Reaction score
128
Hatuna shaka na uzalendo wa Lisu wala misimamo yake katika kukataa Rushwa, chama kikiwa mikononi mwake ukombozi wa kweli wa Taifa utapatikana.

Magufuli alitenda Mengi Mazuri lakini kama ilivyokawaida ya binadamu hakuna aliyekamilika mazui yalikuwa mengi kuliko Madhaifu, Lissu mara baada ya kumbwaga Mwamba TUOMBE RADHI Watanzania Tutakusamehe.

Uchaguzi mwema.
 
Lissu hawezi kumshinda FAM,labda akashinde nja.
 
lissu ni magufuli mwingine, nchi itanufaika na uongozi wake, lissu mambo ya sirini hayataki,na ana namna yake ya kuishi bila kuhitaji rushwa, huyu akipewa nchi uongozi utakua msafi, kissha wenye akili wataongoza kuteletea maendeleo bila uchawa
Magu umesahau alivunja mkataba wa kuweka wazi matumiz ya serikali umesahau alikuwa anakopa kwa siri tena kwa aliokuwa anawaita mabeberu halafu anadanganya watz ni pesa za ndani thubutuu
 
Naunga mkono hoja, japo hili ni kama alishawahi kufanya hata kama haikuwa moja kwa moja
 
Wewe usingetukana?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…