Lissu ukishinda uchaguzi inabidi uisuke upya TRA ili kukomesha unyanyasaji wa wafanyabiashara

Lissu ukishinda uchaguzi inabidi uisuke upya TRA ili kukomesha unyanyasaji wa wafanyabiashara

James Martin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2016
Posts
1,206
Reaction score
1,509
TRA ni chombo cha ukusanyaji kodi ambacho pia kinapaswa kufanya kazi vizuri na wafanyabiashara ili kuwapa ari ya kuendeleza uchumi wetu. Cha kushangaza ni kwamba wafanyabiashara sasa wanaiona TRA kama chombo cha ukandamizaji.

Kwa kuwa serikali ya sasa imefeli kuisimamia TRA kuimarisha mazingira mazuri kati yake na wafanyabiashara, namuomba Tundu Lissu kama akishinda uchaguzi aifukuze bodi nzima ya TRA na kukisuka upya chombo hiki.


Video: Mfanyabiashara wa Kariakoo ndugu Ramadhan Hamissi Ntunzwe akilalamika kuhusu madai yake kwa TRA

 
Lissu ashinde uchaguzi upi huu wa 2020 ? Mbona mnatembea na ndoto mfu sana!
 
Back
Top Bottom