Lissu ulisema tutashitakiwa MIGA

Mkuu ilitakiwa useme ikumbukwe mikataba hii ya kinyonyaji ilipitishwa na Serikali ya CCM,
Unahesabu miaka!! 😂 eti miwili, CCM ni Majinga asee..
Ulimjibu vizuru kabla ya ccm kufanya mabadiliko ya sheria walitskiwa kutaja watu waliongia mikataba mibovu kuwakama na kufulisi malizao
 
Jamaa yupo anatete mkataba wa DPw,wapo wengi kama huyu Juha wamesoma upotoshaji,muda umewaumbua wamehama jf wako Twitter.
 
Huyu ana laana ya Magufuli
Wavivu wa kusoma kama wewe ni mzigo kwa taifa na sasa mlimpata mtu wa kwenu mkacheza tribal card mwisho mkapata"mtu wetu syndrome"

Alipovimba kichwa dikteta uchwara akadhani sheria na katiba ya Tanzania alizovunja ndio atavunja sheria za kimataifa mwisho wa siku kaondoka ila deni la upuuzi wa kutosikiliza ushauri wa wanasheria unaigharimu nchi bado.

Huko ICSID nchi ikapigwa mvua hapo kabla ya March 30, inatakiwa $30 M zilipwe tena baada ya mwaka jana

 
Kwani hamjashtakiwa left n right na mnalipa mabilioni deile?
 
Mkuu iyo M30 ni awamu moja ziko awamu 3. Tanzania iliamua kulipa milion 90 USD kwa kuwa kulikuwa na hatari ya kudaiwa dola za Marekani milioni 109.5 kama ilivyokuwa imetolewa na ICSID mwezi Februari 2024. Malipo haya yako katika vipande vikuu vitatu, na Tanzania itakuwa na muda hadi march 2025 kukamilisha malipo hayo. Hawa watu hawaelewi kama kuna madeni makubwa tunalipa kwa ujinga wa mtu mmoja asiye sikiliza wataalamu
 
Ndio maana nimemjibu awamu ya kwanza imelipwa mwaka jana ila kabla ya March 30, $30M zinatakiwa kulipwa kwa mkupuo kadiri ya makubaliano ila haya mabendera fuata upepo hayajui wakibeba kitu kishabiki basi huyatoi.
 
Nenda kapande SGR sasa kenge wewe
 
Mbona zile noah zetu hatukupewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…