nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Mkuunilidhani mababu zetu ndio walitawaliwa na kuathirika na hofu ya wazungu, kumbe hii kitu inarithiwa......
tuache wachache walio na mawazo huru wafanye kazi
Wakati kina Lissu wanalalamika ile mikataba ya gesi na mingine ilivyokuwa inakimbizwa bungeni siku za mwisho za JK walidhihakiwa vibaya ,leo wanajifanya kama wamesahau. Pathetic, bado hilo la stiglers kumbe mradi ni trilions 21 siyo 7, tutakoma watu wanafosi uishe in 3 years hahahaha subiri kingo zipasuke tu sababu ya masifaMkuu ilitakiwa useme ikumbukwe mikataba hii ya kinyonyaji ilipitishwa na Serikali ya CCM,
Unahesabu miaka!! π eti miwili, CCM ni Majinga asee..
Ulisomeshwa kwa kodi za watanzania ili utetee ujinga kama huu?Natetea mwenye haki yake....
Watanzania ni wanadamu kama walivyo wanadamu wengine...
Kama wazungu wanaona wameoonewa wanaenda mahakamani hiyo ndio haki!
Nyie kama hakuna mlichodhulumu nendeni mahakamani mkajibu hoja....
Kama hamjafanya ubaya mtashinda,kama hamkufanya mtalipa fidia!
Hiyo ndio system ya haki tuliyojichagulia wanadamu hapa duniani.....yaani mahakama!
Sasa wewe unadhani mimi nina akili fupi kama nyie ya kudhani eti kwavile ni Mtanzania basi hata kama tumefanya vibaya kumdhulumu mtu nitetee tuu kama juha....!
Sipo kwenye propaganda za kipumbavu kama hivyo...
Nyie vichwa maji ndio Jiwe anawapeleka kama mbuzi na hoja ya uzalendo mfu namna hiyo!
Huko ndiyo kushitakiwa MIGA?TRILION 490..π[emoji38][emoji16][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]nakumbuka kwenye kipindi cha business cha CNN walivyosoma hiyo habari ya madai ya tume ya kina kabudi walilipuka kicheka wakasema it is ten times the budget of NASA.akaahidiwa kishika uchumba cha bilioni 700 harakaharaka akasema anazihitaji,sijui zilikwua ziende wapi yarabi toba yaani toka 190 billion dollars to 300 usd millions na bado hata shilling haijatoka leo some fools have the audacity to make jokes kwa Lissu,this shithole country is full of Imbeciles and drugged zombies
Kuna mahali nimesema haya-account chochote?! Nimekuambia pamoja na kuyazuia makinikia lakini bado wanaigiza pesa za kutosha kupitia pure gold kwa sababu hadi kesho bado wanasafirisha!! Pesa wanaendelea kuingiza; Trilioni 425 hadi sasa kizungumkuti; lakini hata ile USD 300M wamedindisha kuitoa! At the end of the day, ile migodi iliyobakisha miaka michache kuwa economically productive na yenyewe wanaifunga, kisha haooo, wanasepa! Sasa mshindi ni nani hapo?!Kama makinikia haya account chochote kwa nini wanalilia kuyasafirisha?
Nimesoma kwa hela yangu wewe kiroboto..Ulisomeshwa kwa kodi za watanzania ili utetee ujinga kama huu?
baada ya comedy yote ya kudai 190 billions dollars na kugeuka laughing stock of the world unaongelea MIGA? by the way kwa nini mlijitoa sasa kwenye huo mkataba wa MIGA, au haujui jamaa keshajitoa? kama jinsi alivyojitoa kwenye mkataba w akuendesha serikali kwa uwazi?ough wait a minute,kumbe naongea na bumunda la lumumba,JINGARINGHuko ndiyo kushitakiwa MIGA?
Usituzuge wewe, hiyo mikataba ilisainiwa na nani?? Je chama kipi kilikuwa kinaongoza dola??Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote, wapinzani wakiongozwa na Lisu walipinga vikali hatua hii!!
Je kama tungesikiliza ushauri wa LISU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni 3???
Kawaida mtu mwenye utashi humtetea aliyedhulumiwa, ww mbona uko side ya wazungu? ok, sio kila kilicho kwenye sheria ni haki; hivyo hatuwez kusema kwamba jamaa wana haki;Mkuu
Tunaangalia nani kadhulumiwa hapa kwenye biashara..
Na duniani tuna system ya haki kupitia mahakama!
Sasa kama kuna alieona kaonewa anaenda kufungua kesi,inazungumzwa,ushahidi unawekwa,then haki inatolewa!
Sasa kwenye biashara kati ya serikali ya CCM na wazungu kuhusu haya madini,wazungu wanaona kama wamedhulumiwa,ni haki yao kwenda mahakamani,cha ajabu nyie CCM naanza kujiharishia..
Sasa sijui mnatakaje?
Na hapa hatutetei serikali ya TZ wala wazungu,mwenye kuoenewa anaenda mahakamani kutafuta haki yake..
Thats it....
Serikali ya TZ ni yenu nyie CCM
Ndio mana ni ngumu kupewa nchi maana mawazo yao ni akili za mtu mmoja,wanachoweza wao ni Kukosoa tu Mazuri yanayofanywa Hamna lingine.Habari.
Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi litakiona cha moto kwa kushitakiwa MIGA na kulipa mabilioni ya faini!.
Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote, wapinzani wakiongozwa na Lisu walipinga vikali hatua hii!!
Miaka miwili baada ya kubadili sheria na mikataba hatujashitakiwa MIGA kama tulivyoahidiwa na mwanasheria tuliyemsomesha kwa kodi zetu Lisu!! badala yake tumeanza kuona matunda ya kubadili sheria baada ya kuanzishwa masoko ya madini na hivi karibuni kuna mchimbaji mdogo huko Shinyanga ameuza almasi yake kwa zaidi ya billion 3!
Je kama tungesikiliza ushauri wa LISU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni 3???
nani amekuambia babu akila ukwaju mjukuu utarithi ganzi kwa meno? Waliofanya maovu wamepita, sasa tuna viongozi wapya; tusitafute ganzi kwa meno yao, tukirithi uovu tunaukataa, tukirithi mema tunau-enziUsituzuge wewe, hiyo mikataba ilisainiwa na nani?? Je chama kipi kilikuwa kinaongoza dola??
Kushitakiwa MIGA na ccm wapi na wapi kenge wewe.Nimesoma kwa hela yangu wewe kiroboto..
Mbuzi wa maziwa wewe....
Sijasomeshwa na hela ya kima yeyote TZ hii....
Siko hapa kutetea serikali ya CCM..
Wewe upo hapa kutetea serikali ya CCM sababu wanakulipa.....mimi siwezi fanya huo umama!
Naongea ninachotaka,kikufurahishe au kisikufurahishe....hilo ni tatizo lako halinihusu!
Mkafie huko CCm na serikali yake.....mmetulietea matatizo yote haya.....
Mbuzi nyie!
Unaelewa au umeamua kushabikia tu?Habari.
Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi litakiona cha moto kwa kushitakiwa MIGA na kulipa mabilioni ya faini!.
Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote, wapinzani wakiongozwa na Lisu walipinga vikali hatua hii!!
Miaka miwili baada ya kubadili sheria na mikataba hatujashitakiwa MIGA kama tulivyoahidiwa na mwanasheria tuliyemsomesha kwa kodi zetu Lisu!! badala yake tumeanza kuona matunda ya kubadili sheria baada ya kuanzishwa masoko ya madini na hivi karibuni kuna mchimbaji mdogo huko Shinyanga ameuza almasi yake kwa zaidi ya billion 3!
Je kama tungesikiliza ushauri wa LISU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni 3???
Alieingia mkataba ni SERIKALI YA CCM inayotawala Tanzania na wazungu....Kushitakiwa MIGA na ccm wapi na wapi kenge wewe.
Kwa hiyo kazi yako ni kutetea hiyo mikataba mibovu isibadilishwe kwa ilisainiwa na ccm??Alieingia mkataba ni SERIKALI YA CCM na wazungu....
Waliosaini ni watawala wanaotoka chama cha CCM...hili unalijua vizuri!
Kesi ni kati ya wazungu na Serikali ya Tanzania ambayo ni ya CCM..
Tukishindwa kesi mzigo mnatuletea sisi wananchi tusio na hatia tuubebe....
Hapo hua ndio nataka siku moja nijenge bomu niilipue serikali yote ya CCM!