Kwa nini mapato ya mrabaha yaongezeke sasa?Unaelewa au umeamua kushabikia tu?
Ni nini mpaka sasa tulichokibadilisha ambacho kimekuwa na manufaa makubwa kwetu?
Huenda umekosa uelewa, kwa sada ni mapato yanayotokana na mrabaha tu ndiyo iliyoongezeka lakini mapato ya jumla kutokana na sekta ya madini yameshuka maradufu.
Na huyu unae mtukana kwa kumuita "kenge aliyejaa unyumbu kichwani" ni binadamu mzungu au binadamu mtanzania???Ewe kenge uliyejaa unyumbubkichwani ,hapa unatetea madini ya watanzania au wazungu?
Huu uzi wako uhifadhi ili baadaye ugeuke chambio lako..Subiri kidogooo visiku vichache utapata ulichoulizaHabari.
Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi litakiona cha moto kwa kushitakiwa MIGA na kulipa mabilioni ya faini!.
Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote, wapinzani wakiongozwa na Lisu walipinga vikali hatua hii!!
Miaka miwili baada ya kubadili sheria na mikataba hatujashitakiwa MIGA kama tulivyoahidiwa na mwanasheria tuliyemsomesha kwa kodi zetu Lisu!! badala yake tumeanza kuona matunda ya kubadili sheria baada ya kuanzishwa masoko ya madini na hivi karibuni kuna mchimbaji mdogo huko Shinyanga ameuza almasi yake kwa zaidi ya billion 3!
Je kama tungesikiliza ushauri wa LISU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni 3???
Lissu ni mwizi na msaliti tu, anaitumia elimu yake kuwalaghai nyumbu wachache wasio na elimu kabisaHabari.
Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi litakiona cha moto kwa kushitakiwa MIGA na kulipa mabilioni ya faini!.
Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote, wapinzani wakiongozwa na Lisu walipinga vikali hatua hii!!
Miaka miwili baada ya kubadili sheria na mikataba hatujashitakiwa MIGA kama tulivyoahidiwa na mwanasheria tuliyemsomesha kwa kodi zetu Lisu!! badala yake tumeanza kuona matunda ya kubadili sheria baada ya kuanzishwa masoko ya madini na hivi karibuni kuna mchimbaji mdogo huko Shinyanga ameuza almasi yake kwa zaidi ya billion 3!
Je kama tungesikiliza ushauri wa LISU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni 3???
Usinipangie cha kuandika!Jibu ulichoulizwa, acha utumwa
Wakati wa kikwete unaosemekana mikataba ilikuwa haifaidishi taifa,mapato y amadini yaliwekwa wazi,leo kuna sheria ya kuzuia hilo na wamejitoa kwenye open goverment treaty na bado watu wanashangilia mbaya zaidi wanatulazimisha na sisi wenye akili timamu tuungane nao kwenye ujuha wao.Sheria zilibadilishwa ili kulinufaisha taifa. Vipi, toka sheria ibadirishwe kuna manufaa yoyote?. Au ndo tunaprint vitambulisho vya ujasiliamali vingi zaidi?.
Hujui tuna kesi zimeshafunguliwa tayari?Habari.
Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi litakiona cha moto kwa kushitakiwa MIGA na kulipa mabilioni ya faini!.
Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote, wapinzani wakiongozwa na Lisu walipinga vikali hatua hii!!
Miaka miwili baada ya kubadili sheria na mikataba hatujashitakiwa MIGA kama tulivyoahidiwa na mwanasheria tuliyemsomesha kwa kodi zetu Lisu!! badala yake tumeanza kuona matunda ya kubadili sheria baada ya kuanzishwa masoko ya madini na hivi karibuni kuna mchimbaji mdogo huko Shinyanga ameuza almasi yake kwa zaidi ya billion 3!
Je kama tungesikiliza ushauri wa LISU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni 3???
Nakuonea hurumaBaada ya kubinuka na kufumuliwa hapo ufipa ,sasa unataka ufumue mtu na wewe
Ukiniuliza mm mwenye kipaji cha upotoshaji nitakwambia namba moja ni yule aliyeitangazia dunia na kwamba tutalipwa na ACC ASIA Mpaka Leo hajasema amelipwa shilling ngapi?Lisu ana kipaji cha upotoshaji na kwa bahati nzuri sana au mbaya amepata sehemu nzuri inayomfaa, kuendesha uongo wake Chadema.
Naona kuna shida kubwa kwenye elimu ya vijana wetu.Mse'nge wewe, naona umeanza matusi, cho'ko mkubwa! Jibu swali ! Ulitaka Acacia aende mahakamani akafanye nini wakati hadi sasa yeye ndie winner? Akili fupi ndo maana unashindwa kuelewa mambo madogo kama haya, mbwa wewe!!
Wapongeze kwa kurekebisha sasaWoote hawa wanaojifanya kurekebisha sheria mbovu ktk uwekezaji wa madini ndio hao hao waliozitunga. Hakuna chochote hapo, ni unafiki mtupu.
Mchawi amashaloga halafu tena anajifanya kuagua. This is very silly.
Let the fools praise them, I'm sorry, I'm not the one.Wapongeze kwa kurekebisha sasa
Kwahiyo hapo wewe ndo unaona elimu yako iko vizuri na kwahiyo unaelewa sana?!Naona kuna shida kubwa kwenye elimu ya vijana wetu.
Huwa mnachangia bila kuelewa hoja.
Hivi hoja ya Lisu ilihusu ACACIA kutulipa au kutotulipa pesa?
Ni wivu tuuHabari.
Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi litakiona cha moto kwa kushitakiwa MIGA na kulipa mabilioni ya faini!.
Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote, wapinzani wakiongozwa na Lisu walipinga vikali hatua hii!!
Miaka miwili baada ya kubadili sheria na mikataba hatujashitakiwa MIGA kama tulivyoahidiwa na mwanasheria tuliyemsomesha kwa kodi zetu Lisu!! badala yake tumeanza kuona matunda ya kubadili sheria baada ya kuanzishwa masoko ya madini na hivi karibuni kuna mchimbaji mdogo huko Shinyanga ameuza almasi yake kwa zaidi ya billion 3!
Je kama tungesikiliza ushauri wa LISSU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni 3?
Kwani alisema tutashitakiwa kabla ya miaka miwili? Kutoshitakiwa ndani ya hii miaka miwili haimaanishi ndo tuko salama 100%Habari.
Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi litakiona cha moto kwa kushitakiwa MIGA na kulipa mabilioni ya faini!.
Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote, wapinzani wakiongozwa na Lisu walipinga vikali hatua hii!!
Miaka miwili baada ya kubadili sheria na mikataba hatujashitakiwa MIGA kama tulivyoahidiwa na mwanasheria tuliyemsomesha kwa kodi zetu Lisu!! badala yake tumeanza kuona matunda ya kubadili sheria baada ya kuanzishwa masoko ya madini na hivi karibuni kuna mchimbaji mdogo huko Shinyanga ameuza almasi yake kwa zaidi ya billion 3!
Je kama tungesikiliza ushauri wa LISSU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni 3?
Kwa taarifa yako ewe mwenye unyumbu kichwani kwa sasa makampuni yote ya madini yanachimba kwa kufuata sheria mpya zilizobadilishwa na jembe Magufuli badala ya zile za enzi ya Kikwete.Kwahiyo hapo wewe ndo unaona elimu yako iko vizuri na kwahiyo unaelewa sana?!
Hoja ya Lissu ilikuwa kwamba, tukifanya mambo kwa mihemuko Acacia watatupeleka mahakamani kwa sababu hawa watu wanalindwa na mikataba ya Kimataifa! Akazungumza wazi kwamba, ikama kweli serikali ina nia ya dhati ya kupambaba na dhuluma ya hawa watu, basi serikali ijiondoe kwanza kwenye hii mikataba! Ukisjajiondoa, Acacia anakuwa hana pa kukimbilia except kwenye mahakama zetu za ndani! Hawawezi tena kwenda kwenye mahakama za Kimataifa kwa sababu kujiondoa kwetu ni kusema hatuzitambuia hizo mahakama!
Mleta mada na watu aina yako mnaotamba kuwa ni waelewa wakati hamuelewi; anamkejeli Lissu kwamba mbona hao Acacia wenyewe hawajatushitaki!
Ndipo nami nikaja na hoja kwamba kwa sasa Acacia hawana sababu ya kutushitaki! Hawana sababu hiyo kwa sababu mtake msitake; hadi sasa Acacia ndie mshindi! Serikali imesema Acacia tunawadai zaidi ya Trillion 400 lakini hadi sasa hawajalipa hata sent 5 na tunaenda mwaka wa 3 sasa! Katika kupoteza muda, Barrick wakaahidi "Kishika Uchumba" cha US$ 300 Million! Nadhani inaenda miaka 2 sasa lakini hizo nazo hawajalipa hata sent 5! Sasa waende mahakamani wakafanye nini wakati wenyewe wanatuchezea danadana kama mazuzu?! Na kama umeshindwa kuunganisha dots kwanini nimeleta hoja ya malipo halafu bado unajigamba kuwa muelewa; basi una safari ndefu!!
Assumption ya Lissu ni kama alitarajia serikali ingewabana Acacia kisawasawa kiasi kwamba wasingekuwa na pa kupumulia kama ambavyo iliwahi kutokea kwenye makampumi ya mafuta huko Amerika ya Kusini! Hata hivyo, Acacia hajabanwa mbavu kihivyo kwa sababu pamoja na kuzuia makinikia lakini wanaendelea na shughuli zao kama kawaida! Na ndio maana ingawaje miaka 3 imeshafika; lakini bado wanaendelea kudunda tu!! Na kiburi chote hiki cha Acacia ni kwa sababu wanafahamu wanalindwa na mikataba ya kimataifa! Na ni kutokana na huo ukweli ndio maana hata serikali wenyewe wanashindwa kuchukua hatua kali dhidi ya Acacia! Lakini lau kama serikali ingesikiliza ushauri wa TL wa kuanza kwanza kujitoa kwenye hizi mahakama kabla ya kuwang'ang'ania Acacia; hivi sasa Acacia wasingekuwa na hiki kiburi kwa sababu wangefahamu hawana pa kukimbilia!