Lissu ulisema tutashitakiwa MIGA

Tatizo ni kuwa sifa ya mwana-CCM ni kutokutumia ubongo wake. Tundu Lissu alisema the obvious ila akili zenu za kuazima, you can't perceive even the naked truth. Mwenye kusoma na aelewe.
"In the absence of a final deal with Tanzania, Acacia is expecting to go ahead with an international arbitration hearing in July, with an outcome expected by the end of this year [2019]."
The East African | Acacia Buy-Out Proposal
 
Barrick ndio wa kwenda arbitration sio Acacia, kwa sababu hawatambuliki kisheria. Sasa kama wao Acacia wanashindwa hata kuelewana na mama yao (Barrick) huko mahakamani watakwenda kama nani?

Hii itakuwa kama kesi ya Mpangaji aliyepangishwa na Mpangaji dhidi ya Mwenye Nyumba 🙂
 
Lisu ana kipaji cha upotoshaji na kwa bahati nzuri sana au mbaya amepata sehemu nzuri inayomfaa, kuendesha uongo wake Chadema.
Hivi kweli hakuna kesi za wawekezaji dhidi ya serikali huko ughaibuni ?!. Au mnajifariji ?!
 
Unadhani wazungu hua wanakurupuka kama nyie?

Wanajipanga,wanaandaa charges tu,ikifika muda wa ku-strike,niggas you are in deep shit!

Nyie subirini...mzungu hua asahau kitu mzee!
Kumuogopa mtu kisa kakuzid kitu flan Ni utumwa
 
Kumuogopa mtu kisa kakuzid kitu flan Ni utumwa
Nani kamuogopa nani?

Kuna mahali mtu kaogopa mtu hapo au tuna state the true behaviour ya mtu?

Kama mtu ni tajiri kwanini usiseme tajiri?Unaogopa kusema ni tajiri eti utaonekana unamuogopa?

Kwanini unajijengea reality ambayo haipo wakati ukweli upo?Ili ujiridhishe kwa false assumption ili iweje?

Kama mtu ni mrefu state kabisa ni mrefu sio una state uongo eti ni mfupi ili kuridhisha upumbavu ulionao kwenye ubongo wako kwa kujijengea illusion.

Kusema ukweli miaka hii imekua ni kazi sana....it takes balls kusema au ku-state factual explanation of something au someone...sijui kwanini!
 
Nadhani hayo mtaieleza arbitration court wewe na Pombe. On your second point, Barrick kuwekeza Acacia hakuwaondolei Acacia status yao kama legal person. Kwa hiyo wanaweza kwenda mahakamani watakavyo.
 
Hiyo Mikataba ya kinyonyaji aliyo sign Lissu ilite tuipitie hapa.
 
Zina jenga chato. . Wana mpango wa kujenga uwanja wa mpira wa kimataifa. .ifahamike kwamba pesa hizo zime tumika bila ya kuidhinishwa na bunge. . Bado Kuna pesa nyingine zilitumika kwa kuwa nunua wapinzani
Aiseee,trl 154 ziko wap?
 
Aiseee,trl 154 ziko wap?

Yes zile dola bilioni 190! Watu wengine kichwani hamna kitu kabisa. Ona tulivyo kwama kwenye sector ya madini then mpuuzi mmoja anakwambia tumefanikiwa. Anagalia watu over 4,000 wamepunguzwa kazi hamna ajira etc etc
 
Yes zile dola bilioni 190! Watu wengine kichwani hamna kitu kabisa. Ona tulivyo kwama kwenye sector ya madini then mpuuzi mmoja anakwambia tumefanikiwa. Anagalia watu over 4,000 wamepunguzwa kazi hamna ajira etc etc
Miga miga lini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sidhani kama huyu mwana alirudi kwenye uzi wake
 
Mse'nge wewe, naona umeanza matusi, cho'ko mkubwa! Jibu swali ! Ulitaka Acacia aende mahakamani akafanye nini wakati hadi sasa yeye ndie winner? Akili fupi ndo maana unashindwa kuelewa mambo madogo kama haya, mbwa wewe!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1544]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…