Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Kama inakuumiza chomoa kenge wewe utakuja kufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama inakuumiza chomoa kenge wewe utakuja kufa
Pia kuna yule aliahidi kugawa milioni 50 kila kijiji. Je tumeanza kunufaika nazo? Siku nyingine jifunze kutumia akili zaidi kuliko ushabiki maandazi.Habari.
Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi litakiona cha moto kwa kushitakiwa MIGA na kulipa mabilioni ya faini!.
Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote, wapinzani wakiongozwa na Lisu walipinga vikali hatua hii!!
Miaka miwili baada ya kubadili sheria na mikataba hatujashitakiwa MIGA kama tulivyoahidiwa na mwanasheria tuliyemsomesha kwa kodi zetu Lisu!! badala yake tumeanza kuona matunda ya kubadili sheria baada ya kuanzishwa masoko ya madini na hivi karibuni kuna mchimbaji mdogo huko Shinyanga ameuza almasi yake kwa zaidi ya billion 3!
Je kama tungesikiliza ushauri wa LISSU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni 3?
Hebu mpigie simu Prof. Mruma akuambie alivyo dhalilishwa na vijujuu huko majuu.Habari.

Sijaelewa vizuri. Hebu andika tena?Habari.

Kwi Kwi KwiSijaelewa vizuri. Hebu andika tena?
Kapata ukurutu wa ghaflaBabu yenu MRUMA anataka kujinyonga Kwa aibu aliyokutana nayo.
☝️😂🤣😳🙄😎🤣🤣👍🏾🤜🏾🤔😵💫🥴😩Jikite kwenye hoja. Tumeshitakiwa miga?