Freesoule
JF-Expert Member
- Jun 18, 2013
- 269
- 272
Tatizo ni kuwa sifa ya mwana-CCM ni kutokutumia ubongo wake. Tundu Lissu alisema the obvious ila akili zenu za kuazima, you can't perceive even the naked truth. Mwenye kusoma na aelewe.Habari.
Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi litakiona cha moto kwa kushitakiwa MIGA na kulipa mabilioni ya faini!.
Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote, wapinzani wakiongozwa na Lisu walipinga vikali hatua hii!!
Miaka miwili baada ya kubadili sheria na mikataba hatujashitakiwa MIGA kama tulivyoahidiwa na mwanasheria tuliyemsomesha kwa kodi zetu Lisu!! badala yake tumeanza kuona matunda ya kubadili sheria baada ya kuanzishwa masoko ya madini na hivi karibuni kuna mchimbaji mdogo huko Shinyanga ameuza almasi yake kwa zaidi ya billion 3!
Je kama tungesikiliza ushauri wa LISSU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni 3?
"In the absence of a final deal with Tanzania, Acacia is expecting to go ahead with an international arbitration hearing in July, with an outcome expected by the end of this year [2019]."
The East African | Acacia Buy-Out Proposal