Lissu. Ulitakaje ubunge ukiwa unaishi Ulaya na kuogopa kurudi, ungewawakilishaje wananchi wako?

Wewe hujui chochote kama unafikiri wabunge kazi yao ni kula posho, wala husikilizi bunge kujua wanacho jadili, upo kuletya porojo na ubishi usio na msingi.

Nisikilize bunge kwani huwa linaonyeshwa? Ni kazi ipi wanayofanya ya maana, maana kila jambo linalojadiliwa humo bungeni linaletwa na serikali, na wao wanaishia kupiga kelele ili kuhalalisha posho. Sio mara moja au mbili tumeona hilo bunge likitoa mapendekezo na wala hayatekelezwi na serikali. Hao mawaziri huwa wanatoa majibu na sio majawabu. Kibaya zaidi sasa hivi bunge limegeuka kama hekalu la kumtukuza Magufuli. Narudia tena, hizi propaganda zako za kizee hazina nafasi kwenye kizazi hiki.
 
Acha ujinga wa matusi ka aliyelelewa mitaani. Nimrodi ni nani kisiasa? Mtu mzima mzee sasa wa nini kutajwa?

Nimekuambia umeleta propaganda ya kipuuzi, saa hii huna lolote unaloongea zaidi ya kuanika upuuzi wako hapa jukwaani. Tunakusihi, unapotumwa kuja kuleta propaganda ya kipuuzi, lazima uwahoji hao wanaokutuma itakuwaje ukikutana na maswali magumu. Sio unakuja kichwa kichwa humu jukwaani.
 
Well said mr.
Nisikilize bunge kwani huwa linaonyeshwa? Ni kazi ipi wanayofanya ya maana, maana kila jambo linalojadiliwa humo bungeni linaletwa na serikali, na wao wanaishia kupiga kelele ili kuhalalisha posho. Sio mara moja au mbili tumeona hilo bunge likitoa mapendekezo na wala hayatekelezwi na serikali. Hao mawaziri huwa wanatoa majibu na sio majawabu. Kibaya zaidi sasa hivi bunge limegeuka kama hekalu la kumtukuza Magufuli. Narudia tena, hizi propaganda zako za kizee hazina nafasi kwenye kizazi hiki.
 
Inakuhitaji kujifunza kazi za wabunge na majukumu yao.

Mkuu hujui jambo hili. Hii “uwakilishi wa wananchi” ni ghiliba tu. Bunge letu ni la “kukubali” sheria na mipango inayopangwa na serikali. Ndio maana:
a) budget hupangwa na serikali
b) miswada huwa ni ya serikali
c) serikali kutotekeleza bajeti sio jambo linalohojiwa
d) bunge husimamisha wabunge wasihudhurie vikao.

Sidhani unaweza kupinga hayo!
 
Nisikilize bunge kwani huwa linaonyeshwa? Ni kazi ipi wanayofanya ya maana, maana kila jambo linalojadiliwa humo bungeni linaletwa na serikali, na wao wanaishia kupiga kelele ili kuhalalisha posho. Sio mara moja au mbili tumeona hilo bunge likitoa mapendekezo na wala hayatekelezwi na serikali. Hao mawaziri huwa wanatoa majibu na sio majawabu. Kibaya zaidi sasa hivi bunge limegeuka kama hekalu la kumtukuza Magufuli. Narudia tena, hizi propaganda zako za kizee hazina nafasi kwenye kizazi hiki.
Umethibitisha wewe ndiyo mpuuzi asiyejua kazi ya wabunge kujua wanacho jadili, sina muda wa kuwafundisha wajinga ubunge ni nini, kwa sababukama umemaliza shule ya msingi bila kujua basi wewe ni mjinga asiyeweza kuelewa chochote.

Nina haki ya kutoa maoni yangu na kuchagua rais anayefaa, tunaye Msigwa for president, yeyote anaye muunga mkono Lissu ni mjinga asiye tafakari na kujua sifa za rais.
 
Kisheria Lissu hawezi kugombea Urais akiwa nje ya nchi yake.Anapaswa kurudi nchini na kufata taratibu za uchaguzi ikiwemo kampeni na mambo mengine ya kikatiba.
Amesharudi yupo kwani huna taarifa
Lissu anajua sheria kuliko wewe so sio mjinga akakurupuka tu!
 
Sheria za kujitungia mwenyewe? kweli mafala wa kisiasa wapo wengi, hizo sheria anazozijua ndizo zilizomsababisha kunyang'anywa ubunge?
 
Umethibitisha wewe ndiyo mpuuzi asiyejua kazi ya wabunge kujua wanacho jadili, sina muda wa kuwafundisha wajinga ubunge ni nini, kwa sababukama umemaliza shule ya msingi bila kujua basi wewe ni mjinga asiyeweza kuelewa chochote.

Nina haki ya kutoa maoni yangu na kuchagua rais anayefaa, tunaye Msigwa for president, yeyote anaye muunga mkono Lissu ni mjinga asiye tafakari na kujua sifa za rais.

Nilijua lazima utapanic. Utaachaje kupanic wakati umejichanganya?
 
Traitor hajielewi anataka nini amekuwa ndumilakuwili ana kauli mbili mbili hatujui anasimamia Nini
 
Sijaelewa kwa nini mzee Mkono katajwa hapa? Kwani yeye ni mwanasiasa? Nimrodi Mkono ninayemjua na anayenijua ni binamu wa baba yangu.

Hapa unazidi kuanika ujuha wako. Hakuna anayetaka kujua ww ni nani wake, hata kama ungekuwa mchepuko wake, is non of our business. Mkono ni mbunge na hayuko bungeni hadi leo, kama huyu Lissu uliyemtumwa umuanzishie uzi kuwa hayuko bungeni.
 
Basi ni Mkono mwingine, kama angekuwa baba mkubwa wangu of course would be my business, would you be jealous? Huyo Mkono lazima kafuata sheria za bunge na kueleza alipo, la sivyo Lissu angemtaja, acha upumbavu.
 
Mkuu hujui jambo hili. Hii “uwakilishi wa wananchi” ni ghiliba tu. Bunge letu ni la “kukubali” sheria na mipango inayopangwa na serikali. Ndio maana:
a) budget hupangwa na serikali
b) miswada huwa ni ya serikali
c) serikali kutotekeleza bajeti sio jambo linalohojiwa
d) bunge husimamisha wabunge wasihudhurie vikao.

Sidhani unaweza kupinga hayo!
Basi wabunge wetu hawafanyi wanayotakiwa, jaribu kuangalia kazi kuu za wabunge, ila ujue wabunge wanajadili maswala yote ya nchi hata ya nje ya majimbo yao, pia budget inapangwa na serikali dunia nzima, wabunge wanajadili kuikubali au kuikataa.
 
Basi ni Mkono mwingine, kama angekuwa baba mkubwa wangu of course would be my business, would you be jealous? Huyo Mkono lazima kafuata sheria za bunge na kueleza alipo, la sivyo Lissu angemtaja, acha upumbavu.

Nilijua huna ujualo zaidi ya kupiga propaganda mfu hapa jukwaani. So ulifikiri tunamtaja huyo Mkono kwakuwa ni baba, mjomba au mchepuko wako? Kwa taarifa yako ana miaka minne hayupo bungeni yuko kitandani, kama ni lazima kuwepo bungeni physically ili kuwawakilisha wananchi, basi wananchi wa jimbo lake walipaswa waathirike. Hata hivyo hilo bandiko lako lilijikita kwenye kutokuwepo physically kwa Kiasi, na sio kutokuwepo kwa kutofuata sheria. Inaonekana hujui unaoongea nini, ndio maana unaishia kuongea upuuzi tu hapa.
 
Back
Top Bottom