Uchaguzi 2020 Lissu umati usikudanganye, wengi hawajajiandikisha

Uchaguzi 2020 Lissu umati usikudanganye, wengi hawajajiandikisha

Bahati nzuri mwaka huu kuna kura nyingi sana za kimya kimya toka CCM kwenda Upinzani tofauti na kipindi cha Edward.Halafu waliosaliti kipindi cha Lowassa wamejichanganya na wasaliti wa kipindi hiki.Kura za CCM tu lazima mgawane na wapinzani bado kura za watu wengine.
 
Lowassa alipigiwa mpaka deki katika barabara aliyokatiza kule Mwanza ulipo fikra siku ya uchaguzi akabaki akishangaa.

Watanzania ni sawa sawa na “wajumbe”, wanaweza kukukarimu mpaka ukajiona unaishi mawinguni.
Kamulize kinana na nape kule masaki ilikua wanafanya nini ktk chumba cha goal la mkono

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
kwa hiyo wafuasi wa magu ndio wamejiandikisha?
Wafuasi wa Magu wajiandijishe au la.Yeye ataendelea kuwa Raisi,hakuna mjinga atakatekubali kuweka nchi Rehani kwa vyama visivyojitambua.Hata Tume ya uchaguzi ikosee na kumtangaza mgombea wenu ndiye mshindi,Tundu Lissu atapinga na kwenda mahakamani kwamba Tume imekosea yeye hakustahili kushinda,hayupo tayari kuwa Raisi maana hajajiandaa.Anaelewa kabisa anachofanya kwenye hizo kampeni ni maigizo ya Futuhi.
 
Umati unaojitokeza kwenye mikutano ya Mh. Lissu na wale wanaomsubiri barabarani mpaka sasa kote alipopita ni zaidi ya milioni 5.
Daftari la wapiga kura lina milioni 29.

Mh. Lissu ameshazunguka theluthi ya mikoa yote.

Tafakuri ndogo kwa mujibu wako ni kuwa wapiga kura milioni 29 waliondikishwa ni hewa.
 
Lowassa alipigiwa mpaka deki katika barabara aliyokatiza kule Mwanza ulipo fikra siku ya uchaguzi akabaki akishangaa.

Watanzania ni sawa sawa na “wajumbe”, wanaweza kukukarimu mpaka ukajiona unaishi mawinguni.
Unazifahamu kura HALISI alizopata Lowassa na alizopata JPM? Mtafute Makamba JR akunong'oneze. Na hiyo ndiyo siri ya JPM kumzuia EL kwenda kuwashukuru wapiga kura waliompa "ushindi!"
 
Bado mnakasumba za miaka ya nyuma eeh. Watu wengi hasa vijana wanavyovitambulisho, wakati naenda kufanya Maboresho ya taarifa daktari LA kupiga kura . Misusulu ni vijana watupu. Mwamko wa kujiandikisha miaka ya hivi karibu ni mkubwa tofauti na zamani watu wengi walikuwa wanapuuzia.
 
Bado mnakasumba za miaka ya nyuma eeh... Watu wengi hasa vijana wanavyovitambulisho ..wakati naenda kufanya Maboresho ya taarifa daktari LA kupiga kura . Misusulu ni vijana watupu... Mwamko wa kujiandikisha miaka ya hivi karibu ni mkubwa tofauti na zamani watu wengi walikuwa wanapuuzia
Ndugu huo Umati wa kujiandikisha,wengi wao wanataka vitambulisho wa ajili ya shughuli zao nyingine.
 
Ahaaaa ahaaaa nimecheka kwa nguvu, kawaambie tume ya uchaguzi hiyo idadi ya wapiga kura ya kupika ya 29m+ itawatokea puani safari hii. Maana wapiga kura ni 29m, basi hakuna mtanzania yoyote mwenye miaka 18+ ambaye hajajiandikisha.
 
Back
Top Bottom