Mmeanza kujenga mazingira ya kuiba kura nyie. Huyu ni Lisu siuo LowasaLowassa alipigiwa mpaka deki katika barabara aliyokatiza kule Mwanza ulipo fikra siku ya uchaguzi akabaki akishangaa.
Watanzania ni sawa sawa na “wajumbe”, wanaweza kukukarimu mpaka ukajiona unaishi mawinguni.
Kamulize kinana na nape kule masaki ilikua wanafanya nini ktk chumba cha goal la mkonoLowassa alipigiwa mpaka deki katika barabara aliyokatiza kule Mwanza ulipo fikra siku ya uchaguzi akabaki akishangaa.
Watanzania ni sawa sawa na “wajumbe”, wanaweza kukukarimu mpaka ukajiona unaishi mawinguni.
Wafuasi wa Magu wajiandijishe au la.Yeye ataendelea kuwa Raisi,hakuna mjinga atakatekubali kuweka nchi Rehani kwa vyama visivyojitambua.Hata Tume ya uchaguzi ikosee na kumtangaza mgombea wenu ndiye mshindi,Tundu Lissu atapinga na kwenda mahakamani kwamba Tume imekosea yeye hakustahili kushinda,hayupo tayari kuwa Raisi maana hajajiandaa.Anaelewa kabisa anachofanya kwenye hizo kampeni ni maigizo ya Futuhi.kwa hiyo wafuasi wa magu ndio wamejiandikisha?
Unazifahamu kura HALISI alizopata Lowassa na alizopata JPM? Mtafute Makamba JR akunong'oneze. Na hiyo ndiyo siri ya JPM kumzuia EL kwenda kuwashukuru wapiga kura waliompa "ushindi!"Lowassa alipigiwa mpaka deki katika barabara aliyokatiza kule Mwanza ulipo fikra siku ya uchaguzi akabaki akishangaa.
Watanzania ni sawa sawa na “wajumbe”, wanaweza kukukarimu mpaka ukajiona unaishi mawinguni.
Ndugu huo Umati wa kujiandikisha,wengi wao wanataka vitambulisho wa ajili ya shughuli zao nyingine.Bado mnakasumba za miaka ya nyuma eeh... Watu wengi hasa vijana wanavyovitambulisho ..wakati naenda kufanya Maboresho ya taarifa daktari LA kupiga kura . Misusulu ni vijana watupu... Mwamko wa kujiandikisha miaka ya hivi karibu ni mkubwa tofauti na zamani watu wengi walikuwa wanapuuzia
HakushindaLo
Alowasa kwani hakushinda?alikataa kuingia ikulu kwadam alikubali yapite huyu sio ewala
Lowassa hakushindaNawe unaamini 2015 Ccm ilipata 58% kwa 42% . Zile ni hesabu. Muulize vizuri Lubuva
Afadhali ya Lowassa kuliko huyu, huyu ni mwepesi sana kwani siasa ni zaidi ya mbwembwe za uwakili.Mmeanza kujenga mazingira ya kuiba kura nyie. Huyu ni Lisu siuo Lowasa
Maneno ya kujifariji huwa hayakosekani.Unazifahamu kura HALISI alizopata Lowassa na alizopata JPM? Mtafute Makamba JR akunong'oneze. Na hiyo ndiyo siri ya JPM kumzuia EL kwenda kuwashukuru wapiga kura waliompa "ushindi!"