Uchaguzi 2020 Lissu umati usikudanganye, wengi hawajajiandikisha

Yani huwaga najiuliza sipati jibu nikwanini Watanzania ni wagumu wakuelewaa. Mateso yoooteee tuliyoyapata kwahili jitu lakutishaa ni kwanini tusiamke usingizinii.

Lissu ndio muhimu tuangalie maisha yalivyomagumuu tuache ujinga haya nimaishaa sio Simba na Yanga jamaniiiiii.
 
Nakufananisha na dada wa kazi, samahani kama utakwazika lakini ndiko unako stahili.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Umefanya utafiti gani mpaka unakuja na hoja ya kwamba kwenye umati ule watu wengi hawajajiandikisha.saa nyingine tufiche ujinga wetu kwa kotopost
 
Ila ule umati wa CCM woteee umejiandikisha?
Au watatumia yale majina ya vitabu na namba za vitambulisho wanavoandikisha makazini na mtaani?
 
Maneno yenu huwa yanaishi humu humu jukwaani, ni kama simba wa kwenye karatasi.

Mange Kimambi aliwahamasisha mtoke nje muandamane, kuna aliyepeleka pua yake mtaani!.

Lissu hana uwezo wa kushindana na JPM aliyemaliza awamu yote ya kwanza akiwa karibu na wananchi waliompigia kura.
 
Kitu cha kuzingatia huko ccm ni kuwa msiibe kura round hii.

Kitu kinachompa kiburi Lissu ni namna ccm wanavyoshindaga kwenye uchaguzi.

Na kama mkiacha hio mbinu yenu basi nchi imeenda na mkiiba KINAWAKA
 

Ahaaaa ahaaaa, eti Mange Kimambi, kwani Mange alikuwa hapa nchini, na alikuwa anagombea urais? JPM angekuwa karibu na wapiga kura watu wangetekwa, kuuwawa na kushambuliwa kwa risasi?
 
Watumishi wote wana hasira na jiwe, wanasema kura ni kwa Lissu tu. Hadi askari
Kwani jiwe kakosea wapi?
 
Watu wengi wana vitambulisho vya mpiga kura vya 2015. Kabla ya kitambulisho cha NIDA kitambulisho cha mpiga kura kilikuwa hot cake na bado wengi wanavyo. Ni kwenda tu kwenye eneo walipojiandikisha

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe acha hizo, safari hii wataalamu wa hesabu wamechambua idadi ya wapiga kura 2020 na wamesema kwa mujibu wa takwimu za tume ya uchaguzi inaonekana 100% ya watu wenye sifa za kupiga kura wamejiandikisha. Hii imeonesha kwa zoezi la uandikishwaji wapiga kura tumevunja record tangu uhuru, kwamba haijatokea toka tumepata uhuru na kufanya mazoezi haya kila baada ya miaka mitano!.
 

Na pasingekuwa na Umati ungesemaje?

Amandla...
 
Jinsi mambo yalivyo sidhani kama kuna propaganda wananchi wataielewa.Mmechelewa ssna
 
Kwani wanajifunga wenyewe mpuuzi wewe ?!. Kesi zenyewe za kubambikiza hizo za uchochezi uchwara !!

Ficha aibu. Huko Ccm watu hufuata masilahi , nothing more

Wapinzani wapo na wataendelea kuwepo lakini Chama Cha Chadema kwisney yamebaki mabox tuu.
 
Kweli nimeamini kuna watu wapumbavu. Wewe ni mmoja wao.
 
Hata umati wa Magufuli ni mkubwa na si wote watakaompa kura Magufuli. Isitoshe wa Magufuli umati wake unasababishwa na FIESTA ya akina Ali Kiba na Diamond wakati nyomi ya Tundu Lissu inasababishwa na msukumo wa roho.
 
Halafu wewe utapata faida asipo pata urais,watanzania sijui hizi akili tunatoa wapi?.au utakuwa unaenda ikulu kunywa chai na Magufuli?
 
Wapinzani wapo na wataendelea kuwepo lakini Chama Cha Chadema kwisney yamebaki mabox tuu.
Kama mmetumia mpaka hazina kuimaliza na bado mmeshindwa !!. Utatumia mbinu ipi ?!. Labda msajili nayo haiwezi kuwasaidia kwa sababu upinzani umo mioyoni mwa watu si chama.
 
Watanzania wapo smart Sana. Lissu anadhani kufokafoka jukwaani ndio kuishinda CCM, atachemsha. Chadema ya 2020 mdebwedo kabisa,hoja zenu wananchi walio wengi hawazielewi.Ni chama kinachotaka madaraka tu ili kitekeleze agenda zao ovu. Najua mmeshashindwa, kabisa. JPM 5 tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…