Uchaguzi 2020 Lissu umati usikudanganye, wengi hawajajiandikisha

Umejuaje kama hawajajiandikisha?
 
Madhara ya zile nyavu kisayansi nadhani unayajua.

Hizi nchi za kiafrika zinahitaji marais wenye maamuzi magumu.
fikakwanza eneo latukio ndio useme sio nyavu zakuvulia samaki nizakuvulia dagaa waliotumwa waliomba wavuvi tuwaonyeshe iliwazipime matokeo yake wakasema ziposawa lakini tunataka pesa kama hamna pesa tunazichoma tulipo ambiwazipo sawa tuligoma kutoapesa ndipo walipozichoma na kuteka engiene zetu wakidai raisi kawatuma aliwapa napesa kamamtaji na aliwaambia zirudi nafaida sasa acha nasisi tumpe faida kwakujidaia madaraka lisu kasema anatulipa wahanga wote ni yeye 2020
 
Madhara ya zile nyavu kisayansi nadhani unayajua.

Hizi nchi za kiafrika zinahitaji marais wenye maamuzi magumu.
Kama nyavu zina tatizo, ingawaje najua hujui unachoongea. Sasa mitumbwi ya wavuvi iliyotobolewa na Mpina na kikosikazi chake ina matatizo gani?
 
Me mbona nimejiandikisha pamoja na familia yangu. Tunasema NI YEYE TAL, 2020.
 
Umetumia mbinu gani kufahamu wafuasi wa mikutano ya Lissu hawajajiandikisha na wale wa mikutano ya wanasiasa wengine wamejiandikisha?
 
Upuuzi mtupu wale wanafunzi wanaoletwa kwenye mikutano ya Magufuli wamefikisha lini umri wa kuchagua viongozi?
 
Uliwaona wangapi unajuwa wavuvi niwangapi nchini tumeungana na vyeti feki+bomoa bomoa mwaka huu sijui mnatokea wapi ni yeye 2020
Kuna hao hao wavuvi wa ziwa Victoria ambao mwaka jana na huu wametengeneza bilioni 590 kwa kuuza samaki Ulaya hao kura zao ni za Magufuli.

Sijaongelea wale wa vitambulisho vya elfu ishirini kwa mwaka. Pengo lenu linazibwa bila hofu.
 
Poleni lakini sidhani kama wingi wenu utampunguzia Pengo la kuweza kuonekana.

Mungu ayasimamie maisha yenu🙏🏿🙏🏿.
 
Kama nyavu zina tatizo, ingawaje najua hujui unachoongea. Sasa mitumbwi ya wavuvi iliyotobolewa na Mpina na kikosikazi chake ina matatizo gani?
Sikuwepo eneo la tukio lakini nahisi ipo sababu nyuma ya maamuzi ya waziri.

Magu tangu 2015 wakati wa kampeni aliongelea juu ya uvuvi haramu ziwa Victoria.
 
Je hao wasiojiandikisha wapo tu kwenyemikutano ya Chadema au hata mikutano ya ccm?

Mimi naaini kuwa hata kama mtu hajajiandikisha, anauwezo wa kumshawishi mtu aliyejiandikisha akampeigiie kura mgombea wanayempenda.
 
Ila wanaoenda kwa Jiwe wamejiandikisha
 
Poleni lakini sidhani kama wingi wenu utampunguzia Pengo la kuweza kuonekana.

Mungu ayasimamie maisha yenu🙏🏿🙏🏿.
Shetani hajawahi hatasikumoja kumshinda muumba sauti yawengi nisauti yake maulana kiliochawengi machozi hayaendi bure pia hatukosi wakutufuta machozi ni yeye 2020
 
Ndo mnavyojidanganya? Umati anaohutubia mgombea wa CCM ni tofaut na ule wa Lissu?
 
Shetani hajawahi hatasikumoja kumshinda muumba sauti yawengi nisauti yake maulana kiliochawengi machozi hayaendi bure pia hatukosi wakutufuta machozi ni yeye 2020
Tatizo hao unaodhani ni wachache ukweli ni kwamba ni wengi sana kuliko nyinyi ambao ndio wachache.
 
Duh
Yamekuwa hayo sasa haa 29Mil ambao ni zaidi ya 100% iliotakiwa watakuwa ni wahutu au ndio wakubumba?
 
Shetani hajawahi hatasikumoja kumshinda muumba sauti yawengi nisauti yake maulana kiliochawengi machozi hayaendi bure pia hatukosi wakutufuta machozi ni yeye 2020
nashukuru kwakua umeuona unyang'anyi pianadhani umeakisi kwakuwa alitudhulumu wavuvi unahisi badoananguvu yakudhulumu hata uchaguzi nikwambie tu mahii tupotayari kwalolote kwanza niliisha poteza sinachafanya tena hapanipambano tu
 
Ila umati wa magufuli ndio wamejiandikisha eti.sasa sikiliza vijana asilimia 85 wanavitambulisho vya kupiga kura kwa sababu huduma nyingi za jamii zinahitahiji vitambulisho ukienda bank kufungua acc.wanataka kitambulisho ukienda Tra kutaka leseni ya udereva wanataka vitambulisho.kila kona vitambulisho sasa vijana wengi walijiandikisha endeleni kukalili kuwa wazee ndio wabavitambulisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…