Ni kunena na kufanya yaliyokinyume na MunguUngejua maana ya kufuru usingeandika ulichoandika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kunena na kufanya yaliyokinyume na MunguUngejua maana ya kufuru usingeandika ulichoandika.
Kwa hiyo unashauri Nini kifanyike?Wafuasi wa CHADEMA na Lissu wamekuwa wakipagawa na kuota kwamba, uchaguzi wa October utawapatia ushindi na kwa mara ya kwanza toka tujipatie Uhuru nchi itaongozwa na upinzani.
Hii ni kutokana na Umati ambao umekuwa ukijitokeza kwenye kampeni za ugombea urais kwa mheshimiwa Tundu Lissu. Niwaambie wafuasi wa CHADEMA endeleeni kufurahia ngojera za mgombea wenu ila Urais mtaendelea kuusikia hadi 2925.
Sababu ya kwanza ni kwamba, watanzania wengi mnaowaona kwenye mikutano, hawajajiandikisha na hata hao waliojiandikisha, kwenye uchaguzi wa mwaka huu hawataamka kwenda kupiga hiyo kura kwa vile inajulikana wazi Mjomba Magu anarudi pale Chamwino na Magogoni.
Pili, vyama vya upinzani vyote vimeshapoteza mvuto kwa wananchi na kuikubali CCM na mgombea wake, kwa yale Serikali ya CCM iliyoyafanya na yanaonekana kwa macho na hata kuyagusa kwa mkono.
Tatu, Viongozi wa vyama vya upinzani wameshapoteza imani kwa wananchi na hasa Wasomi na waelewa wa mambo,ambao miaka michache iliyopita ndiyo tulikuwa tukiunga mkono mageuzi, kwa kuona CCM ni ya watu wasiojielewa. Kupotea kwa imani hii kumetokana na viongozi wenyewe wa vyama vya upinzani kufanya kama taasisi zao, na si za wananchi. Tazama Mbowe na Chadema, Zitto na ACT, hawana tofauti na Mzee Mrema wa TLP, au NCCR ya Mbatia.Ndiyo maana Dr Slaa aliyaona haya mapema akaamua kukaa pembeni.Chadema na wafuasi wenu msijidanganye.
Ajabu. Maana tunachojua ni watu wale wale, sasa sijui wana copy!Upuuzi mtupu umati wa lissu hawajajiandikisha ila kwa jiwe wamejiandikisha au sio.
Kura alizopewa Lowassa na NEC sio zile alizopigiwa na wananchi.Lowassa alipigiwa mpaka deki katika barabara aliyokatiza kule Mwanza ulipo fikra siku ya uchaguzi akabaki akishangaa.
Lowassa alipigiwa mpaka deki katika barabara aliyokatiza kule Mwanza ulipo fikra siku ya uchaguzi akabaki akishangaa.
Watanzania ni sawa sawa na “wajumbe”, wanaweza kukukarimu mpaka ukajiona unaishi mawinguni.
Eti hajajiandaa, muulize magu kama 2015 alijiandaaWafuasi wa Magu wajiandijishe au la.Yeye ataendelea kuwa Raisi,hakuna mjinga atakatekubali kuweka nchi Rehani kwa vyama visivyojitambua.Hata Tume ya uchaguzi ikosee na kumtangaza mgombea wenu ndiye mshindi,Tundu Lissu atapinga na kwenda mahakamani kwamba Tume imekosea yeye hakustahili kushinda,hayupo tayari kuwa Raisi maana hajajiandaa.Anaelewa kabisa anachofanya kwenye hizo kampeni ni maigizo ya Futuhi.
Lowassa alipigiwa mpaka deki katika barabara aliyokatiza kule Mwanza ulipo fikra siku ya uchaguzi akabaki akishangaa.
Watanzania ni sawa sawa na “wajumbe”, wanaweza kukukarimu mpaka ukajiona unaishi mawinguni.
Story za vijiweni Lowassa hakuwa na utayari wa kupewa nchi, kimwili hakuwa imara hakuna aliyeiba kura ni maneno ya kujifariji ya mitaani.Kura alizopewa Lowassa na NEC sio zile alizopigiwa na wananchi.
Kulikuwa na massive vote rigging probably hata NEC wenyewe hawajui nini hasa kilitokea. Phillipo unalijua hili mzee!
Jenga hoja mkuu punguza masikhara.Kumbe ndomana nw mnataman kusuguliwa co???