lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Umefanya vema Sana ndugu Lissu kuwaomba wanajeshi,amabao Ni JW,Polisi,Magereza,Tiss,uhamiaji,mgambo n.k wasije wakatumiwa na wanasiasa kuwapiga Watanzania wenzaob kwa mamilioni watakaokataa kuibiwa ushindi.kwani ushindi wa mamilioni ya Watanzania Ni ushindi wa Majeshi. Yetu pendwa.
Pia nimefurahi kuwa nao umewahahikishia Neema ukishika dola,kwani nao Ni wahanga.
Kikubwa zaidi umewahakikishia kuwa Hakuna mWanajeshi atashushwa cheo..
Kwa mtazamo wangu hapa Ni kwamba vyeo na mslahi yao utayaangalia vema.
Sasa nakushauri ongelea na uonevu na dhuluma wanazofanyiwa Manajeshi wetu na serikali hi.Hata wao Ni wahanga .
Yapo mengi tu.