lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Hawadanganyiki kirahisi hivyo!Umefanya vema Sana ndugu Lissu kuwaomba wanajeshi,amabao Ni JW,Polisi,Magereza,Tiss,uhamiaji,mgambo n.k wasije wakatumiwa na wanasiasa kuwapiga Watanzania wenzaob kwa mamilioni watakaokataa kuibiwa ushindi.kwani ushindi wa mamilioni ya Watanzania Ni ushindi wa Majeshi. Yetu pendwa.
Pia nimefurahi kuwa nao umewahahikishia Neema ukishika dola,kwani nao Ni wahanga.
Kikubwa zaidi umewahakikishia kuwa Hakuna mWanajeshi atashushwa cheo..
Kwa mtazamo wangu hapa Ni kwamba vyeo na mslahi yao utayaangalia vema.
Sasa nakushauri ongelea na uonevu na dhuluma wanazofanyiwa Manajeshi wetu na serikali hi.Hata wao Ni wahanga .
Yapo mengi tu.
Kaa na Hawa wa chini usikie mawazo yao wao sio wanufaika Bali ni mabosi zao,Hawadanganyiki kirahisi hivyo!
Lissu anasikiliza Sana maoni ya wadau,nadhani washauri wake wanapitia humu na wanamshauri na anashaurika,ndio maana kila siku anakuwa Bora zaidi.Askari Ni wahanga tu hapaswi kuwalaumu muda wote ila inabidi awape muelekeo sahihi.Umefanya vema Sana ndugu Lissu kuwaomba wanajeshi,amabao Ni JW,Polisi,Magereza,Tiss,uhamiaji,mgambo n.k wasije wakatumiwa na wanasiasa kuwapiga Watanzania wenzaob kwa mamilioni watakaokataa kuibiwa ushindi.kwani ushindi wa mamilioni ya Watanzania Ni ushindi wa Majeshi. Yetu pendwa.
Pia nimefurahi kuwa nao umewahahikishia Neema ukishika dola,kwani nao Ni wahanga.
Kikubwa zaidi umewahakikishia kuwa Hakuna mWanajeshi atashushwa cheo..
Kwa mtazamo wangu hapa Ni kwamba vyeo na mslahi yao utayaangalia vema.
Sasa nakushauri ongelea na uonevu na dhuluma wanazofanyiwa Manajeshi wetu na serikali hi.Hata wao Ni wahanga .
Yapo mengi tu.
Maaskari Wana hali ngumu wanaofaidi Ni wale top.Alichokiongea Lissu kitamuongezea uungwaji mkonoHawadanganyiki kirahisi hivyo!
Mna kazi ngumu kupangua hoja, dah....Hawadanganyiki kirahisi hivyo!
Endelea kusifu na kuimbia jiwe mapambio tu, mwisho wake umewadia.Hawadanganyiki kirahisi hivyo!
Kaa na Hawa wa chini usikie mawazo yao wao sio wanufaika Bali ni mabosi zao,
Wamekaa wanaamini bado wapo pamoja nao, siku watakapowaaingiza barabarani watashangaa na roho zao watakapogeukwa,wanao nufaika Ni mabosi zao ambao sio watu wa field,so hoja ya watz kupigwa kwa kutetea haki yao haipo this timeSasa hivi na wao wamechoka hii hali maana nao wanandugu wanaona wanavyoteseka
Ila wanahasira balaa kwa kunyimwa haki zao siku wakijichanganya kuwatumia kupora haki ndipo watakaoelewa kumbe ule utii ni wa kwenye gwanda tu.Lissu anasikiliza Sana maoni ya wadau,nadhani washauri wake wanapitia humu na wanamshauri na anashaurika,ndio maana kila siku anakuwa Bora zaidi.Askari Ni wahanga tu hapaswi kuwalaumu muda wote ila inabidi awape muelekeo sahihi.
Mliwatangazia kuwa mtawafuta kazi mkiingia madarakani, sasa leo mnasema hamtawafuta kazi kwa ajili ya kuomba kura,Umefanya vema Sana ndugu Lissu kuwaomba wanajeshi,amabao Ni JW,Polisi,Magereza,Tiss,uhamiaji,mgambo n.k wasije wakatumiwa na wanasiasa kuwapiga Watanzania wenzaob kwa mamilioni watakaokataa kuibiwa ushindi.kwani ushindi wa mamilioni ya Watanzania Ni ushindi wa Majeshi. Yetu pendwa.
Pia nimefurahi kuwa nao umewahahikishia Neema ukishika dola,kwani nao Ni wahanga.
Kikubwa zaidi umewahakikishia kuwa Hakuna mWanajeshi atashushwa cheo..
Kwa mtazamo wangu hapa Ni kwamba vyeo na mslahi yao utayaangalia vema.
Sasa nakushauri ongelea na uonevu na dhuluma wanazofanyiwa Manajeshi wetu na serikali hi.Hata wao Ni wahanga .
Yapo mengi tu.
We acha tu wanajeshi ni ndugu zetu. Mdogo wangu ni mwanajeshi. Ni vile tu wamefundishwa nidhamu ya kutunza siri. Lakini kibinadamu na wao ni wahanga wa siasa uchwara. Lissu komboa makundi yote ya kiraia. Mungu akubarikiUmefanya vema Sana ndugu Lissu kuwaomba wanajeshi,amabao Ni JW,Polisi,Magereza,Tiss,uhamiaji,mgambo n.k wasije wakatumiwa na wanasiasa kuwapiga Watanzania wenzaob kwa mamilioni watakaokataa kuibiwa ushindi.kwani ushindi wa mamilioni ya Watanzania Ni ushindi wa Majeshi. Yetu pendwa.
Pia nimefurahi kuwa nao umewahahikishia Neema ukishika dola,kwani nao Ni wahanga.
Kikubwa zaidi umewahakikishia kuwa Hakuna mWanajeshi atashushwa cheo..
Kwa mtazamo wangu hapa Ni kwamba vyeo na mslahi yao utayaangalia vema.
Sasa nakushauri ongelea na uonevu na dhuluma wanazofanyiwa Manajeshi wetu na serikali hi.Hata wao Ni wahanga .
Yapo mengi tu.
Hawajaongezwa kwa miaka 5 hata allowance zao zinasuasua sana.Hakuna Askari asiyeongezewa mshahara atapiga watu this time
Wale top 5 ndio wanafaidi sasa wanapenda kutoa amri huku chini.Wamekaa wanaamini bado wapo pamoja nao, siku watakapowaaingiza barabarani watashangaa na roho zao watakapogeukwa,wanao nufaika Ni mabosi zao ambao sio watu wa field,so hoja ya watz kupigwa kwa kutetea haki yao haipo this time