Lissu umefanya vema Sana kuwasihi na kuwapa mwelekeo chanya Wanajeshi.

Wale top 5 ndio wanafaidi sasa wanapenda kutoa amri huku chini.
Wa chini Wana wachora tu,tumeyashuhudia Malawi, Sudani,misri, zimbabwe.ulimwengu wa Sasa anayejiaminisha kutegemea dola anahangaisha nafsi yake bure.Jeshi huwa alimlindi mtawala ulinda wananchi kwa kupima upepo nguvu ya umma ikiwa kubwa uungana na wananchi dhidi ya dikteta
 
Bado ana imani na vyombo
 
Hivi kuna mtu anatilia maanani porojo za aina hii toka kwa mtu ambaye kwa sehemu kubwa ya maisha yake amaekuwa akivishutumu vyombo hivyo ambavyo sasa anajifanya kutaka navyo urafiki??

Jamaa ana tamaa Sana ya madaraka kiasi kwamba yupo tayari kuona damu inamwagika mradi apate kile anachokitaka.

Hizi kauli zinapaswa kuchukuliwa kwa tahadhari kubwa kwani jamaa katumwa kuhakikisha tunavurugika na waliomtuma wanapata mwanya wa kufanya mambo yao.

Watanzania wenzangu tuwe makini na huyu mtu na tumkatae yeye pamoja na chama chake la tutakuja jutia hapo baadae.

Kuna red flags kila mahali kuhusiana na huyu mtu.
 
Mtajua hamjui....siku ya tar 27 july Lissu anatua Airport mlitarajia viwasaidie vikawakacha. Siku ya kuteukiwa mlitegemea NEC iwasaidie ikawakacha, kwenye kampeni huko Songwe na Geita mlitegemea viwasaidi vimewakacha hadi maofisa wamepigwa onyo na kuhamishwa....na siku ya uchaguzi ni mwendo huo huo.
 
Chadema mnajua sana kujipa Faraja!
 
Reactions: UCD
Lissu arudishe maduka ya jeshi yenye msamaha wa kodi, ma MT, PC, MTM wanaoanza maisha wanateseka sana. Yale maduka yaliwakomboa sana askari wetu
 
Anacheza na biti sahihi ya nyakati
Penye mdudiko anadundika
Penye segere anarindima
Penye reggae anajiachia
Penye hiphop anafokafoka
 
Damu itamwagika kweli kama haki haitotendeka, tunachoomba Lissu akishindwa kwa haki akubali, na JPM akishindwa pia mwa haki akubali, wasianze uchakachuzi wakura. Tz nikubwa kuliko wishes za JPM na TUNDULISU. Atakaeshindwa Basi ashindwe kwa haki.
 
Lisu amekuwa akitoa kauli za kuitisha NEC imtangaze kama mshindi kauli zake zinadhihirisha jambo moja tu kuwa yeye lazima ashinde of which sio ushindani wa Afya, akishindwa je ??
 
Lisu amekuwa akitoa kauli za kuitisha NEC imtangaze kama mshindi kauli zake zinadhihirisha jambo moja tu kuwa yeye lazima ashinde of which sio ushindani wa Afya, akishindwa je ??
Na aliesema kawateua wakurungezi ,halafu watangaze wapinzani hatakubali alimanisha nini?.

Tunahitaji uchaguzi huru na wahaki, kama wakifanya yale yaserikali za Mitaa za wasimamizi wa uchaguzi kukimbia na masanduku yakura ,tujue kweli damu itamwigika. Atakaeshindwa ashindwe kwa haki.
 
Wanajeshi wa nchi hii chini ya serikali tiifu ya Bwana Magufuli wanaishi maisha mazuri sana kuliko wanajeshi wa nchi zote za Kusini mwa Jangwa la Sahara.
 
" Uchaguzi ni huru na haki" neno gumu Sana hilo.
 
Damu itamwagika kweli kama haki haitotendeka, tunachoomba Lissu akishindwa kwa haki akubali, na JPM akishindwa pia mwa haki akubali, wasianze uchakachuzi wakura. Tz nikubwa kuliko wishes za JPM na TUNDULISU. Atakaeshindwa Basi ashindwe kwa haki.
Unadhani kati ya Magufuli na Lisu nani mtata wa kukubali matokeo pale uchaguzi ukiwa huru na wa haki ?
 
" Uchaguzi ni huru na haki" neno gumu Sana hilo.
Mkuu tuseme "Magufuli" unaamini ni rahisi kukubali matokeo yakushindwa?. Mimi naamini kama Lissu akishindwa kwa haki naamini hawezi kukataa matokeo. Lakini bado nawasiwasi na Magufuli kama atashindwa hatoweza kukubali matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…