Lissu umefanya vema Sana kuwasihi na kuwapa mwelekeo chanya Wanajeshi.

Hayo mabaya walofanyiwa yaweke hapa.
 
Pamoja na serikali kujitahidi kuboresha malipo ya wanajeshi, wa kada za chini wanaumia. Hakuna sera ya kueleweka kwa wanajeshi wastaafu ambao kwa mujibu wa sheria za majeshi hustaafu bado wana nguvu. Matokeo wengi hukata tamaa na kuishia kwenye ulevi na kupelekwa vifo vya mapema. Wanaofaidika ni maafisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…