Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Akiwa huko Tarime, Lissu alielezea namna alivyokwenda Tarime kwa mara ya kwanza mwaka 2003 ambapo alikuta wananchi wengi wamebambikiziwa kesi na wengine kufungwa kifungo hadi cha miaka 30 Jela kwa kupinga kuporwa migodi huko Nyamongo na wengine kuporwa ardhi zao. Huku akiongea kwa kutaja majina ya wahanga wa mkasa huo, Lissu anasema alifanikiwa kuwatoa jela watu wanaofikia 466.
Takwimu hizo na kitendo hicho kimewafurahisha sana wana Tarime na kwa kweli sina shaka kuwa kama Leo kura zinapigwa huko Tarime kati ya Lissu na Magufuli ni dhahiri Lissu atamgaragaza vibaya Magufuli.
Na siyo Tarime tu mkoa wa Mara mzima kuna uwezekano mkubwa ukaenda upinzani.