Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
He rob from poor and he can even rob from the blind too. Hana hurumaHuyu ndye katumia elimu yake kusaidia wanyonge.
Ila yule mwingine ni myonge myongeni ila haki yake mpeni. Yani unanyongwa na haki yako unapewa.
Huyu ndye katumia elimu yake kusaidia wanyonge.
Ila yule mwingine ni myonge myongeni ila haki yake mpeni. Yani unanyongwa na haki yako unapewa.
AaminMungu ambariki sana Lissu.
Hivi bado hujawa na utambuzi??, Watanzania wanajua wanachokifanya.Akiwa huko Tarime, Lissu alielezea namna alivyokwenda Tarime kwa mara ya kwanza mwaka 2003 ambapo alikuta wananchi wengi wamebambikiziwa kesi na wengine kufungwa kifungo hadi cha miaka 30 Jela kwa kupinga kuporwa migodi huko Nyamongo na wengine kuporwa ardhi zao. Huku akiongea kwa kutaja majina ya wahanga wa mkasa huo, Lissu anasema alifanikiwa kuwatoa jela watu wanaofikia 466...
Wananchi wa Tarime kwani siyo watanzania?Hivi bado hujawa na utambuzi??, Watanzania wanajua wanachokifanya.
Yupo ana mfundisha mungu maswala ya sintakisia,Morphologia,Phonologia, phonetics, na maswala kaza wa kaza kuhusu LinguisticsMkapa wacha aende tu kwakweli!!
Lisu ni mtu sahihi kwa wakati sahihi apewe nchi atuongozeAkiwa huko Tarime, Lissu alielezea namna alivyokwenda Tarime kwa mara ya kwanza mwaka 2003 ambapo alikuta wananchi wengi wamebambikiziwa kesi na wengine kufungwa kifungo hadi cha miaka 30 Jela kwa kupinga kuporwa migodi huko Nyamongo na wengine kuporwa ardhi zao. Huku akiongea kwa kutaja majina ya wahanga wa mkasa huo, Lissu anasema alifanikiwa kuwatoa jela watu wanaofikia 466.
Takwimu hizo na kitendo hicho kimewafurahisha sana wana Tarime na kwa kweli sina shaka kuwa kama Leo kura zinapigwa huko Tarime kati ya Lissu na Magufuli ni dhahiri Lissu atamgaragaza vibaya Magufuli.
Na siyo Tarime tu mkoa wa Mara mzima kuna uwezekano mkubwa ukaenda upinzani.
Ni Watanzania.Wananchi wa Tarime kwani siyo watanzania?
Sekta ipi ya madini,tegesha wote chalisasa unaongea mambo ya 2003 wakati huu wa magu. Ngoja magu afike huko utajionea mwenyewe. wenyewe wanajua kinachotokea kwenye sector ya madini. Time will tell
Huyu ndye katumia elimu yake kusaidia wanyonge.
Ila yule mwingine ni myonge myongeni ila haki yake mpeni. Yani unanyongwa na haki yako unapewa.
Bagamiyo Lumumba hilo hawawezi kulitambua sababu ni wao na serikali yao ndiyo iliwatendea wana Tarime hayo, hivyo kwao bado Lisu ni msaliti, adui mkubwa na mpinga maendeleoUtakuta wanaLumumba wanasema Tundu Lissu amewafanyia nini waTanzania. Hili la kesi za Tarime ni mojawapo ya mambo mengi Tundu Lissu aliyoyafanya kutetea haki za wananchi katika kuleta Maendeleo ya Watu.