Uchaguzi 2020 Lissu umegusa moyo wa watu wa Tarime

sasa unaongea mambo ya 2003 wakati huu wa magu. Ngoja magu afike huko utajionea mwenyewe. wenyewe wanajua kinachotokea kwenye sector ya madini. Time will tell
Hapa anachukua kura 99.8% Viva Tundu Lissu!
 
Mwenyezi Mungu ampe Lissu Maisha marefu na afya njema. #NiYeye2020

 
Bila kunajisi sanduku la kura siku ya uchaguzi , ushindi ni asubuhi tu.
 
Lissu yuko vizuri sana kwa watu wa Tarime, amewatoa mbali sana kutokana na zile issue zao za kupewa maeneo ya kuchimba (wachimbaji wadogo wadogo), hili linamuongezea nguvu sana kwenye kampeni zake, sio huko Tarime pekee, bali kwa watanzania wote kwasababu moyo aliouonesha kwa hao jamaa kuwapigania mpaka wakatoka jela, ndio moyo wa mwanadamu unavyotakiwa kuwa.
 
Reactions: BAK
Lissu alipona zile risasi 36 zilizolenga kumuua kwani Mungu ana mipango nae ya kuja kuwakomboa wa- Tanzania kupitia Komredi Lissu. Tusichezee tunu hii tuliyopewa na Mola wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…