Lissu umeshindwa kuwazungumzia watumishi walioshushwa mishahara na Mwendazake

BrownRange

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2020
Posts
927
Reaction score
1,191
Nilitegemea ujio wako Tanzania, ungefanikisha kuwasemea wale wote walioshushwa mishahara yao na mwendazake.

Nikuombe mkutano ujao wasemee katika hili ikiwezekana Rais aweze kuwarudishia mishahara yao

Nawasilisha
 
Nilitegemea ujio wako Tanzania, ungefanikisha kuwasemea wale wote walioshushwa mishahara yao na mwendazake. Nikuombe mkutano ujao wasemee katika hili ikiwezekana Rais aweze kuwarudishia mishahara yao

Nawasilisha
Amekusikia na atalifanyia kazi.
 
Nilitegemea ujio wako Tanzania, ungefanikisha kuwasemea wale wote walioshushwa mishahara yao na mwendazake. Nikuombe mkutano ujao wasemee katika hili ikiwezekana Rais aweze kuwarudishia mishahara yao

Nawasilisha
si ndiyo safari inaanza, bado yatafumuliwa mengi. uwe na subira
 
Nilitegemea ujio wako Tanzania, ungefanikisha kuwasemea wale wote walioshushwa mishahara yao na mwendazake. Nikuombe mkutano ujao wasemee katika hili ikiwezekana Rais aweze kuwarudishia mishahara yao

Nawasilisha
Kwa hiyo unataka hao watumishi waendelee kulipwa mishahara ya mamilioni, huku watumishi wa kima cha chini wakilipwa laki 3 tu kwa mwezi!!
 
Kila kazi na mshahara wake, sio anakuja tu mtu anashusha mshahara wa watu. Hao wenye kima Cha chini Cha laki 3, wanaruhusiwa kuomba kazi zenye hayo mamilioni unayoyasema wewe. Kila mtu ana haki kuomba anachostahili kwa vigezo stahili. Haijawahi kutokea Dunia mishahara ya watumishi wote ikawa sawa. Tujifunze kuheshimu sheria na taratibu tulizoziweka
 
kuwasemea wale wote walioshushwa mishahara yao na mwendazake.
Yeye anatembelea V8 New Model na huku anaidai Serikali Million 100, atawakumbuka saa ngapi hao ambao hawajaongezewa mishahara? Yeye ni mwendo wa kuongelea ya bei ya Maharage na Mchele na masuala ya Katiba Mpya, hao unaowasema hawamuhusu
 
Nilitegemea ujio wako Tanzania, ungefanikisha kuwasemea wale wote walioshushwa mishahara yao na mwendazake. Nikuombe mkutano ujao wasemee katika hili ikiwezekana Rais aweze kuwarudishia mishahara yao

Nawasilisha

Kuwajua chawa wengine wa Mama kazini usome vizuri mabandiko yao
 
Kila kazi na mshahara wake, sio anakuja tu mtu anashusha mshahara wa watu. Hao wenye kima Cha chini Cha laki 3, wanaruhusiwa kuomba kazi zenye hayo mamilioni unayoyasema wewe. Kila mtu ana haki kuomba anachostahili kwa vigezo stahili. Haijawahi kutokea Dunia mishahara ya watumishi wote ikawa sawa. Tujifunze kuheshimu sheria na taratibu tulizoziweka
Kwanini huyo aloshushiwa mshahara hakuacha kazi kwenda kutafuta kazi yenye mshahara mkubwa zaidi
 
Haya ndio mawazo ya Watanzania tulio wengi. Unataka ukimbie tatizo badala ya kusolve tatizo. Katika maisha Kuna long plan na short plan. Unatakiwa utatue kwanza tatizo ukishindwa ndio uende hatua nyingine. We ushawahi jiuliza kwanini awashushe watu mishahara? Unauliza kwanini mtu asutafute ajira nyingine. Mtu avunje sheria, alafu umlaumu aliyekosewa, be serious
 
Wale kweny taasisi wazee wa kujichotea tu
Hili jambo halikubaliki. Yaani mtu mmoja alipwe milioni 40 kwa mwezi halafu mwingine alipwe laki 3!

Ifikie wakati kuwe na tofauti ndogo ya mshahara kati ya watumishi wa serikali.
 
Sasa ummah upi na kundi la watu wachache !! Twende kweny umma kama daktari na walimu ambao wanagusa ummma kwa ujumla wapi walipunguziwa Mishahara?
Tunafuata sheria au tunajiamulia, kwahiyo hata wewe ukiwa mkubwa unaweza tu kushusha mshahara wa watu kwa vile ni wachache. Tutumie akili kufikiria
 
Tambua izo taasisi wao ndo wanapropose Mishahara na ipo ya Tanzania Government scale (TGS) huoni wako tofauti na serikali
 
Huyu jamaa ndo wale mapapa walikuwa nje ya game anataka mambo yaendelee😂😂

Kazi iendelee: 🤣🤣

IMG_20230205_221019.jpg

Hizi ndio sifa kuu za mama Samia
 
Back
Top Bottom