Lissu umeshindwa kuwazungumzia watumishi walioshushwa mishahara na Mwendazake

Lissu umeshindwa kuwazungumzia watumishi walioshushwa mishahara na Mwendazake

Nilitegemea ujio wako Tanzania, ungefanikisha kuwasemea wale wote walioshushwa mishahara yao na mwendazake. Nikuombe mkutano ujao wasemee katika hili ikiwezekana Rais aweze kuwarudishia mishahara yao

Nawasilisha
Hawa Wanasiasa ni Bure kabisa ukiwapa msg Inbox hawajibu wala hawasomi
 
Back
Top Bottom