BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Amekusikia na atalifanyia kazi.Nilitegemea ujio wako Tanzania, ungefanikisha kuwasemea wale wote walioshushwa mishahara yao na mwendazake. Nikuombe mkutano ujao wasemee katika hili ikiwezekana Rais aweze kuwarudishia mishahara yao
Nawasilisha
si ndiyo safari inaanza, bado yatafumuliwa mengi. uwe na subiraNilitegemea ujio wako Tanzania, ungefanikisha kuwasemea wale wote walioshushwa mishahara yao na mwendazake. Nikuombe mkutano ujao wasemee katika hili ikiwezekana Rais aweze kuwarudishia mishahara yao
Nawasilisha
Kwa hiyo unataka hao watumishi waendelee kulipwa mishahara ya mamilioni, huku watumishi wa kima cha chini wakilipwa laki 3 tu kwa mwezi!!Nilitegemea ujio wako Tanzania, ungefanikisha kuwasemea wale wote walioshushwa mishahara yao na mwendazake. Nikuombe mkutano ujao wasemee katika hili ikiwezekana Rais aweze kuwarudishia mishahara yao
Nawasilisha
Dunia hii ni ngumu sana kuridhika.Kwa hiyo unataka hao watumishi waendelee kulipwa mishahara ya mamilioni, huku watumishi wa kima cha chini wakilipwa laki 3 tu kwa mwezi!!
Wale kweny taasisi wazee wa kujichotea tuKwa hiyo unataka hao watumishi waendelee kulipwa mishahara ya mamilioni, huku watumishi wa kima cha chini wakilipwa laki 3 tu kwa mwezi!!
Kila kazi na mshahara wake, sio anakuja tu mtu anashusha mshahara wa watu. Hao wenye kima Cha chini Cha laki 3, wanaruhusiwa kuomba kazi zenye hayo mamilioni unayoyasema wewe. Kila mtu ana haki kuomba anachostahili kwa vigezo stahili. Haijawahi kutokea Dunia mishahara ya watumishi wote ikawa sawa. Tujifunze kuheshimu sheria na taratibu tulizoziwekaKwa hiyo unataka hao watumishi waendelee kulipwa mishahara ya mamilioni, huku watumishi wa kima cha chini wakilipwa laki 3 tu kwa mwezi!!
Yeye anatembelea V8 New Model na huku anaidai Serikali Million 100, atawakumbuka saa ngapi hao ambao hawajaongezewa mishahara? Yeye ni mwendo wa kuongelea ya bei ya Maharage na Mchele na masuala ya Katiba Mpya, hao unaowasema hawamuhusukuwasemea wale wote walioshushwa mishahara yao na mwendazake.
Nilitegemea ujio wako Tanzania, ungefanikisha kuwasemea wale wote walioshushwa mishahara yao na mwendazake. Nikuombe mkutano ujao wasemee katika hili ikiwezekana Rais aweze kuwarudishia mishahara yao
Nawasilisha
Kwanini huyo aloshushiwa mshahara hakuacha kazi kwenda kutafuta kazi yenye mshahara mkubwa zaidiKila kazi na mshahara wake, sio anakuja tu mtu anashusha mshahara wa watu. Hao wenye kima Cha chini Cha laki 3, wanaruhusiwa kuomba kazi zenye hayo mamilioni unayoyasema wewe. Kila mtu ana haki kuomba anachostahili kwa vigezo stahili. Haijawahi kutokea Dunia mishahara ya watumishi wote ikawa sawa. Tujifunze kuheshimu sheria na taratibu tulizoziweka
Haya ndio mawazo ya Watanzania tulio wengi. Unataka ukimbie tatizo badala ya kusolve tatizo. Katika maisha Kuna long plan na short plan. Unatakiwa utatue kwanza tatizo ukishindwa ndio uende hatua nyingine. We ushawahi jiuliza kwanini awashushe watu mishahara? Unauliza kwanini mtu asutafute ajira nyingine. Mtu avunje sheria, alafu umlaumu aliyekosewa, be seriousKwanini huyo aloshushiwa mshahara hakuacha kazi kwenda kutafuta kazi yenye mshahara mkubwa zaidi
Hili jambo halikubaliki. Yaani mtu mmoja alipwe milioni 40 kwa mwezi halafu mwingine alipwe laki 3!Wale kweny taasisi wazee wa kujichotea tu
Huyu jamaa ndo wale mapapa walikuwa nje ya game anataka mambo yaendelee😂😂Hili jambo halikubaliki. Yaani mtu mmoja alipwe milioni 40 kwa mwezi halafu mwingine alipwe laki 3!
Ifikie wakati kuwe na tofauti ndogo ya mshahara kati ya watumishi wa serikali.
Ilitakiwa kuanzishwa Tume ya Mishahara, sijui iliishia wapi.Hili jambo halikubaliki. Yaani mtu mmoja alipwe milioni 40 kwa mwezi halafu mwingine alipwe laki 3!
Ifikie wakati kuwe na tofauti ndogo ya mshahara kati ya watumishi wa serikali.
Unaongea usilolijua, mi naongea kuhusu Umma wa Watanzania, wewe unaleta ngonjeraHuyu jamaa ndo wale mapapa walikuwa nje ya game anataka mambo yaendelee😂😂
Sasa ummah upi na kundi la watu wachache !! Twende kweny umma kama daktari na walimu ambao wanagusa ummma kwa ujumla wapi walipunguziwa Mishahara?Unaongea usilolijua, mi naongea kuhusu Umma wa Watanzania, wewe unaleta ngonjera
Tunafuata sheria au tunajiamulia, kwahiyo hata wewe ukiwa mkubwa unaweza tu kushusha mshahara wa watu kwa vile ni wachache. Tutumie akili kufikiriaSasa ummah upi na kundi la watu wachache !! Twende kweny umma kama daktari na walimu ambao wanagusa ummma kwa ujumla wapi walipunguziwa Mishahara?
Tambua izo taasisi wao ndo wanapropose Mishahara na ipo ya Tanzania Government scale (TGS) huoni wako tofauti na serikaliTunafuata sheria au tunajiamulia, kwahiyo hata wewe ukiwa mkubwa unaweza tu kushusha mshahara wa watu kwa vile ni wachache. Tutumie akili kufikiria
Huyu jamaa ndo wale mapapa walikuwa nje ya game anataka mambo yaendelee😂😂