Nimesema alipigwa risasi kwa kupigania haki za wananchi akiwa chadema. bado unayo nafasi ya kuupigania umma ukiwa hapohapo, wasikilize watanzania.Ukweli mchunguhakupigwa risasi kwa ajili ya chadema ni kwa ajili ya msimamo wake, manesi na madaktari waliookoa maisha yake hawana uhusiano na chadema, waliogoa ndege kumpeleka nairobi ni wana ccm, magumu aliyopitia si kwa sababu ya chadema, ila raha alizo enjoy ni kwa sababu ya chadema,
Tatizo vyama pinzani havina maji ya kunywa mengi.......grass moja kira mtu atie domolake..........kusema ukweli sitegemei Lissu atoe kauli alizozitoa kuwa Chadema siyo mama yake,ni kweli wote tunafahamu hivyo lakini angalia historia yako kwenye upinzani,na hadi ulipopigwa risasi. Nadhani hakuna aliyeteseka na kupigania haki za watanzania kama wewe. Safari ya mapambano ni ndefu na ngumu ina "dynamics" nyingi. Wewe ni Nelson Mandela wetu usiogope mtu awe ndani ya chadema au kwingine popote,wasikilize wananchi wanasemaje. Fullstop.
Hakuna chama ambacho ni mama wa yeyote. CCM siyo mama kwa Rais Samia hata akiulizwa muda huu. Vivyo hivyo Chadema siyo mama kwa Mbowe, na wanachama wote.kusema ukweli sitegemei Lissu atoe kauli alizozitoa kuwa Chadema siyo mama yake,ni kweli wote tunafahamu hivyo lakini angalia historia yako kwenye upinzani,na hadi ulipopigwa risasi. Nadhani hakuna aliyeteseka na kupigania haki za watanzania kama wewe. Safari ya mapambano ni ndefu na ngumu ina "dynamics" nyingi. Wewe ni Nelson Mandela wetu usiogope mtu awe ndani ya chadema au kwingine popote,wasikilize wananchi wanasemaje. Fullstop.
Unajisahaulisha si mlitaka apelekwe Mhimbili nyie ili........? Aliyeshikilia chupa ya damu wa CCM? Wakati hata maji hamuachiani acha wewe!hakupigwa risasi kwa ajili ya chadema ni kwa ajili ya msimamo wake, manesi na madaktari waliookoa maisha yake hawana uhusiano na chadema, waliogoa ndege kumpeleka nairobi ni wana ccm, magumu aliyopitia si kwa sababu ya chadema, ila raha alizo enjoy ni kwa sababu ya chadema,
Labda anatofautiana kimtazamo na wenzie kwenye chama ni haki yakekusema ukweli sitegemei Lissu atoe kauli alizozitoa kuwa Chadema siyo mama yake,ni kweli wote tunafahamu hivyo lakini angalia historia yako kwenye upinzani,na hadi ulipopigwa risasi. Nadhani hakuna aliyeteseka na kupigania haki za watanzania kama wewe. Safari ya mapambano ni ndefu na ngumu ina "dynamics" nyingi. Wewe ni Nelson Mandela wetu usiogope mtu awe ndani ya chadema au kwingine popote,wasikilize wananchi wanasemaje. Fullstop.
Pia Soma
- Kuelekea 2025 - Lissu: CHADEMA ikiondoka kwenye misingi iliyonifanya nijiunge nacho, nitaondoka. CHADEMA siyo mama yangu wala dini yangu