Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Lisu wape nguvu wajumbe wanaokuunga Mkono. Usikubali kuachia wape nguvu.
Onyesha wewe ni nani.
Wape nguvu wale waliotishwa na kukatishwa tamaa na Mbwembwe mshindani wako kwenye Media.
Zile ni mbwembwe tu.
Mbowe mwenyewe ana hofu. Yeye mwenyewe anaogopa. Lazima aogope aibu inayoenda kumpata. Lakini hayakulaumu kwa sababu ametaka mwenyewe. Aibu ya kujitakia hiyo.
Kabiliana naye inavyomstahili. Shambulia kadiri anavyokuja.
Tumia wafuasi wako kukabiliana na mashambulizi ya mtandaoni na kwenye Media. Ili kutowapa ubaridi wale wajumbe wenye Moto mdogo.
Wewe ni kama Daudi. Goliath lazima adondoke. Jikaze! Kazana! Ongeza uhodari na mbinu ili kuongoza jeshi lako la wajumbe.
Wewe ni kama Gideoni.
Ukitoka kwenye Press usionyeshe hata chembe Moja ya woga, usilalamike, wla kuonyesha kuwa mshindani wako kapewa upendeleo Fulani.
Waambie wajumbe wako;
"Tunaenda kuandika Historia isiyosahaulika. Ikumbukeni siku hii ya Leo. Hii itakuwa siku kubwa. Tayari mmeona WA upande ule walivyo na hofu juu yetu. Wanatapatapa!
Hahahahaa! Wanajua hawana uwezo wa kutushinda. Kwa sababu Sisi ni watu imara. Mioyo yetu inathamani kubwa kiasi cha fedha kushindwa kutununua.
Mmesikia wakisema Sisi ni wabangaizaji, ni kweli Sisi tunabangaiza lakini wameshindwa kutununua, lakini wao ambao sio wabangaizaji wanabei ndio maana wamenunuliwa kama bidhaa.
Sisi tupo kwaajili ya watu kulinda utu wao. Lakini wao wapo kwaajili ya pesa ndio maana wakauza UTU wao na wanataka kuuza utu wa Watanzania.
Vipi! Mmesikia wakisema wametoa pesa kukiendesha chama, wamefilisiwa, lakini vipi kuhusu Sisi na familia zetu. Je pesa inathamani kuliko damu za wanaharakati wetu waliouwa, waliotiwa vilema, waliopotezwa,
Wao walitoa pesa wakavuna pesa. Je Sisi tulitoa damu na roho zetu kwenye chama hiki tulipata kitu gani?
Na hatuna tunachohitaji zaidi ya kukomboa Haki za watu wetu wanyonge. Watu hao wapo chamani na wengine sio WA chama hiki
Pesa Zao haziwezi kuwa na thamani kuliko maumivu na roho za wenzetu zilizopotea.
Wamewadharau Watanzania ambao wengi wetu ni wabangaizaji.
Mawazo hayo ndio hutumika kuwanyima Haki wanyonge kwa kutokana na umaskini wao.
Tunajua wao bila Rushwa hawana uwezo wowote.
Tunajua wao bila Kutafuta watu dhaifu wanaonunulika hawana uwezo wowote ule.
Nendeni mkapige Kura mkawaonyeshe ninyi ni wabangaizaji msio na bei, ambao hamnunuliki.
Lissu usijitoe.