Huelewi kitu gani wewe kipofu wa macho na ufahamu pia..?
Unaweza kukosa ushahidi wa kimahakama wa kuona wakipeana...
Lakini hata kwa kutumia "common sense" tu uliyopewa na Mungu huwezi kutambua kuwa hapa mtu amelainishwa na kitu kidogo
Nanye Go kwa kuangalia mabadiliko ya mienendo, tabia na matendo yake..?
Sikiliza bwana. Imeandikwa "utawatambua kwa matendo na mwenendo wao"
Mr. Freeman Mbowe has totally changed. Hana ujasiri tena wa kukemea maovu ya serikali hii. Hii ni ishara kuwa naye tayari ni mshiriki wa matendo hayo....
What else do you need to know to prove that the guy has been in covenant with the devil? Au hujui kuwa hongo na rushwa ya kuahidiwa wabunge na madaraka fulani huyo ni shetani..???
Ndivyo ilivyo. Kama huna akili inayokupa ufahamu huu, hakika hakuna wa kukusaidia rafiki, utabaki hivyo hivyo ukiidanganya nafsi yako...!!