Pre GE2025 Lissu usijitoe kwenye kinyang'anyiro, mshindani wako hofu anayo. Jitokeze na panga timu yako kuwapa hari wajumbe wanaokuunga mkono

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ili chama kisipasuke Mbowe aliposikia Lisu anagombea yeye hakutakiwa kuchukua form ya yeye kugombea kuchuana na Lisu badala yake alitakiwa asigombee ila amsapoti Lisu kama alivyomsapoti LOWASA kipindi kile.Kitendo cha Mbowe kishindana na Lisu badala ya kuungana kumsapoti,kimefanya hata wale waliokuwa hawafahamu RANGI yake halisi kuifahamu rangi yake halisi.

Ili kunusuru mpasuko wa chama na kurejesha imani ya wanachama MBOWE anatakiwa ASHINDWE huu uchaguzi.
 
Mbowe hawezi kushinda
Mimi mwenyewe nilitaka yeye agombee ili kutoa upinzani WA kweli kwenye uchaguzi huu.

Muhimu uwe wa HAKI. Pasiwepo Rushwa n.k.
Kwenye uchaguzi wa haki tapeli mbowe hawezi kupenya. Hofu yangu wasiendeshe mchakato kama walivyofanya 2015 mkutano mkuu uliompitisha lowasa kugombea urais.
 
Exactly, hio ndio point yangu, ajikite kwa Wajumbe sasa! Asije akalewa na Kura za mtandaoni. Yoyote atakayeshinda CHADEMA itabaki kuwa imara.
Akishinda Lissu, chama kitakuwa imara. Lakini Mbowe akitumia fedha kupata ushindi CDM itayumba sana, kwa kuwa hata mimi sipo tayari kuongozwa tena na dikteta, king'ang'anizi wa madaraka, mjumbe wa ccm aliyejimilikisha chama.

Hili la kulambishwa asali makada wa CCM kama akina Yohana Mbatizaji walikuwa wanadokeza kwa mbaaaali mara kwa mara.

Lakini kwakuwa Mbowe alikuwa ameturoga tuliwapuuza siku zote kwa kumwona Mbowe kama malaika mtakatifu. Asanteni sana. Nimeongea kwa niaba ya WABANGAIZAJI.

Kila la heri kwa shujaa, mpambanaji wa kweli ndg Tundu Lissu. Asante kwa mleta uzi.
 
Mbowe anaenda kuabika na kupotea mazima, ccm mafia wamemkanyagisha mbowe,ahahaha
 
Hongera kwa andiko na Hotuba nzuri mkuu.
 
Key boards warriors ambao hamna msaada wowote kwenye battleground.
 

TAL Aluta Continua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…