Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Siitoi😁Toa iyo picha kwenye profile yako...
Kama sio mwenyewe ,unamvujia heshima mwenye picha hii ,sio kilaza kama wewe, na kama ndo wewe mwenye picha hii basi umeanza kuwa kilaza periodSiitoi😁
Huna la kufanya wewe nyumbu😂Kama sio mwenyewe ,unamvujia heshima mwenye picha hii ,sio kilaza kama wewe, na kama ndo wewe mwenye picha hii basi umeanza kuwa kilaza period
Lissu amepanic hadi kaanza kuvaa bullet proof😁
Punguza uchawa😎Sasa hivi hajulikani. Kama si ninyi hata hawa wenginewe
Wewe ni Nondo? Kama sie hii picha waweka ya nini badala ya kuweka picha ya wazazi wako, mke, au mwanao , kama we ndo ndie nenda ziwa Tanganyika kaoge toa mikosi ,pumbavuHuna la kufanya wewe nyumbu😂
Upuuzi mtupu.Wewe ni Nondo? Kama sie hii picha waweka ya nini badala ya kuweka picha ya wazazi wako, mke, au mwanao , kama we ndo ndie nenda ziwa Tanganyika kaoge toa mikosi ,pumbavu
Nani huyo?
kibaraka ameshikwa akili na mabwenyenye ya magharibi anabweka bweka tu 🐒kwahiyo mbowe ana blind IQ
Ujumbe mzuri sana huu,Kwema Wakuu!
Lisu wape nguvu wajumbe wanaokuunga Mkono. Usikubali kuachia wape nguvu.
Onyesha wewe ni nani.
Wape nguvu wale waliotishwa na kukatishwa tamaa na Mbwembwe mshindani wako kwenye Media.
Zile ni mbwembwe tu.
Mbowe mwenyewe ana hofu. Yeye mwenyewe anaogopa. Lazima aogope aibu inayoenda kumpata. Lakini hayakulaumu kwa sababu ametaka mwenyewe. Aibu ya kujitakia hiyo.
Kabiliana naye inavyomstahili. Shambulia kadiri anavyokuja.
Tumia wafuasi wako kukabiliana na mashambulizi ya mtandaoni na kwenye Media. Ili kutowapa ubaridi wale wajumbe wenye Moto mdogo.
Wewe ni kama Daudi. Goliath lazima adondoke. Jikaze! Kazana! Ongeza uhodari na mbinu ili kuongoza jeshi lako la wajumbe.
Wewe ni kama Gideoni.
Ukitoka kwenye Press usionyeshe hata chembe Moja ya woga, usilalamike, wla kuonyesha kuwa mshindani wako kapewa upendeleo Fulani.
Waambie wajumbe wako;
"Tunaenda kuandika Historia isiyosahaulika. Ikumbukeni siku hii ya Leo. Hii itakuwa siku kubwa. Tayari mmeona WA upande ule walivyo na hofu juu yetu. Wanatapatapa!
Hahahahaa! Wanajua hawana uwezo wa kutushinda. Kwa sababu Sisi ni watu imara. Mioyo yetu inathamani kubwa kiasi cha fedha kushindwa kutununua.
Mmesikia wakisema Sisi ni wabangaizaji, ni kweli Sisi tunabangaiza lakini wameshindwa kutununua, lakini wao ambao sio wabangaizaji wanabei ndio maana wamenunuliwa kama bidhaa.
Sisi tupo kwaajili ya watu kulinda utu wao. Lakini wao wapo kwaajili ya pesa ndio maana wakauza UTU wao na wanataka kuuza utu wa Watanzania.
Vipi! Mmesikia wakisema wametoa pesa kukiendesha chama, wamefilisiwa, lakini vipi kuhusu Sisi na familia zetu. Je pesa inathamani kuliko damu za wanaharakati wetu waliouwa, waliotiwa vilema, waliopotezwa,
Wao walitoa pesa wakavuna pesa. Je Sisi tulitoa damu na roho zetu kwenye chama hiki tulipata kitu gani?
Na hatuna tunachohitaji zaidi ya kukomboa Haki za watu wetu wanyonge. Watu hao wapo chamani na wengine sio WA chama hiki
Pesa Zao haziwezi kuwa na thamani kuliko maumivu na roho za wenzetu zilizopotea.
Wamewadharau Watanzania ambao wengi wetu ni wabangaizaji.
Mawazo hayo ndio hutumika kuwanyima Haki wanyonge kwa kutokana na umaskini wao.
Tunajua wao bila Rushwa hawana uwezo wowote.
Tunajua wao bila Kutafuta watu dhaifu wanaonunulika hawana uwezo wowote ule.
Nendeni mkapige Kura mkawaonyeshe ninyi ni wabangaizaji msio na bei, ambao hamnunuliki.
Lissu usijitoe.
mimi hapa niko kila korido nafuatilia kwa kina na kutazama mambo ya ndani kwa kila mgombea mpaka uchaguzi utakapofanyika,Hakuna kujiengua Gentleman.
Subiri uone mambo yanavyoenda
bullet proof kwani imetengenezwa kwa kazi ganiLissu amepanic hadi kaanza kuvaa bullet proof😁
atajiengua mbowe kutunza heshima yakemimi hapa niko kila korido nafuatilia kwa kina na kutazama mambo ya ndani kwa kila mgombea mpaka uchaguzi utakapofanyika,
dalili za mgombea kujiengua na kujibandua chadema ziko wazi na bayana 🐒
Imetengenezwa mahsusi kwa Lissu😁😁😁bullet proof kwani imetengenezwa kwa kazi gani
endeleeni kumpa nusu mkatekibaraka ameshikwa akili na mabwenyenye ya magharibi anabweka bweka tu 🐒
Kudos buddy👆Kwema Wakuu!
Lisu wape nguvu wajumbe wanaokuunga Mkono. Usikubali kuachia wape nguvu.
Onyesha wewe ni nani.
Wape nguvu wale waliotishwa na kukatishwa tamaa na Mbwembwe mshindani wako kwenye Media.
Zile ni mbwembwe tu.
Mbowe mwenyewe ana hofu. Yeye mwenyewe anaogopa. Lazima aogope aibu inayoenda kumpata. Lakini hayakulaumu kwa sababu ametaka mwenyewe. Aibu ya kujitakia hiyo.
Kabiliana naye inavyomstahili. Shambulia kadiri anavyokuja.
Tumia wafuasi wako kukabiliana na mashambulizi ya mtandaoni na kwenye Media. Ili kutowapa ubaridi wale wajumbe wenye Moto mdogo.
Wewe ni kama Daudi. Goliath lazima adondoke. Jikaze! Kazana! Ongeza uhodari na mbinu ili kuongoza jeshi lako la wajumbe.
Wewe ni kama Gideoni.
Ukitoka kwenye Press usionyeshe hata chembe Moja ya woga, usilalamike, wla kuonyesha kuwa mshindani wako kapewa upendeleo Fulani.
Waambie wajumbe wako;
"Tunaenda kuandika Historia isiyosahaulika. Ikumbukeni siku hii ya Leo. Hii itakuwa siku kubwa. Tayari mmeona WA upande ule walivyo na hofu juu yetu. Wanatapatapa!
Hahahahaa! Wanajua hawana uwezo wa kutushinda. Kwa sababu Sisi ni watu imara. Mioyo yetu inathamani kubwa kiasi cha fedha kushindwa kutununua.
Mmesikia wakisema Sisi ni wabangaizaji, ni kweli Sisi tunabangaiza lakini wameshindwa kutununua, lakini wao ambao sio wabangaizaji wanabei ndio maana wamenunuliwa kama bidhaa.
Sisi tupo kwaajili ya watu kulinda utu wao. Lakini wao wapo kwaajili ya pesa ndio maana wakauza UTU wao na wanataka kuuza utu wa Watanzania.
Vipi! Mmesikia wakisema wametoa pesa kukiendesha chama, wamefilisiwa, lakini vipi kuhusu Sisi na familia zetu. Je pesa inathamani kuliko damu za wanaharakati wetu waliouwa, waliotiwa vilema, waliopotezwa,
Wao walitoa pesa wakavuna pesa. Je Sisi tulitoa damu na roho zetu kwenye chama hiki tulipata kitu gani?
Na hatuna tunachohitaji zaidi ya kukomboa Haki za watu wetu wanyonge. Watu hao wapo chamani na wengine sio WA chama hiki
Pesa Zao haziwezi kuwa na thamani kuliko maumivu na roho za wenzetu zilizopotea.
Wamewadharau Watanzania ambao wengi wetu ni wabangaizaji.
Mawazo hayo ndio hutumika kuwanyima Haki wanyonge kwa kutokana na umaskini wao.
Tunajua wao bila Rushwa hawana uwezo wowote.
Tunajua wao bila Kutafuta watu dhaifu wanaonunulika hawana uwezo wowote ule.
Nendeni mkapige Kura mkawaonyeshe ninyi ni wabangaizaji msio na bei, ambao hamnunuliki.
Lissu usijitoe.
Mzee baba, Lissu yupo jikoni anachensha sumu.Asipoe Sana.
Akipoa hata wale wajumbe waliokuwa wanamuunga mkono watapoteza tumaini.
Lakini hiyo haimaanishi amtukane Mwenyekiti wake.
PumbavuUpuuzi mtupu.