Chadema walipanga kufanya matukio makubwa sana ndani ya mwezi huu wa saba.
i/ Ujio wa Tundu Lissu siku ya jumatatu(27/07/2020) kama sijakosea siku.
ii/ Mkutano mkuu wa chadema wa tarehe 29/07/2020 kama sijakosea siku ili kumchagua mgombea wa urais atakaye chuana na Magufuli.
Sasa hili matukio haya yalete maana iliyokusudiwa na CHADEMA basi ni bora yote yahailishwe ili kupisha kwanza msiba uishe.
please Lissu usirudi kwanza mpaka msiba uishe ili nchi iwe imetulia ndiyo urudi.
Tiketi tutampa nyingine Kwan shngapiAna ticketi mkononi. Lazima arudi, labda mkutano mkuu usogezwe mbele baada ya mazishi ya Mzee Mkapa.
Naunga mkono hoja CDM subiri maigizo ya ccm yao yaishe, ndo ratiba iendeleeChadema walipanga kufanya matukio makubwa sana ndani ya mwezi huu wa saba.
i/ Ujio wa Tundu Lissu siku ya jumatatu(27/07/2020) kama sijakosea siku.
ii/ Mkutano mkuu wa chadema wa tarehe 29/07/2020 kama sijakosea siku ili kumchagua mgombea wa urais atakaye chuana na Magufuli.
Sasa hili matukio haya yalete maana iliyokusudiwa na CHADEMA basi ni bora yote yahailishwe ili kupisha kwanza msiba uishe.
please Lissu usirudi kwanza mpaka msiba uishe ili nchi iwe imetulia ndiyo urudi.
Nakubaliana kwamba aahirishe ujio wake kwa wiki 2 hivi na hata mkutano mkuu CDM upelekwe mbele wiki 2 hali iwe shwari ili kishindo cha umma kisikike dunia nzima.Lissu anarudi, anapata attention zaidi ya ilivyotarajiwa na msiba unaendelea kama kawaida.
Lissu kwa sasa ni tunu ya taifa huwezi kupona kifo kwa nguvu za Mungu mbele ya risasi 38 zilizopigwa kwenye gari yako na 16 kukuingia mwilini alafu uwe mtu wa kawaida na watu wasikufuatilie . Never on earth.
Na vyovyote vile Tundu Lissu ndo Raisi wa Jamhuri ya muungano Tanzania hapo October 2020.
Chadema walipanga kufanya matukio makubwa sana ndani ya mwezi huu wa saba.
i/ Ujio wa Tundu Lissu siku ya jumatatu(27/07/2020) kama sijakosea siku.
ii/ Mkutano mkuu wa chadema wa tarehe 29/07/2020 kama sijakosea siku ili kumchagua mgombea wa urais atakaye chuana na Magufuli.
Sasa hili matukio haya yalete maana iliyokusudiwa na CHADEMA basi ni bora yote yahailishwe ili kupisha kwanza msiba uishe.
please Lissu usirudi kwanza mpaka msiba uishe ili nchi iwe imetulia ndiyo urudi.
Ana ticketi mkononi. Lazima arudi, labda mkutano mkuu usogezwe mbele baada ya mazishi ya Mzee Mkapa.
Tiketi tutampa nyingine Kwan shngapi
Inabadilishwa tiketi,Ana ticketi mkononi. Lazima arudi, labda mkutano mkuu usogezwe mbele baada ya mazishi ya Mzee Mkapa.
Naunga mkono hoja CDM subiri maigizo ya ccm yao yaishe, ndo ratiba iendelee

Kashakata tiketi lazima aje na msibani lazma audhurieChadema walipanga kufanya matukio makubwa sana ndani ya mwezi huu wa saba.
i/ Ujio wa Tundu Lissu siku ya jumatatu(27/07/2020) kama sijakosea siku.
ii/ Mkutano mkuu wa chadema wa tarehe 29/07/2020 kama sijakosea siku ili kumchagua mgombea wa urais atakaye chuana na Magufuli.
Sasa hili matukio haya yalete maana iliyokusudiwa na CHADEMA basi ni bora yote yahailishwe ili kupisha kwanza msiba uishe.
please Lissu usirudi kwanza mpaka msiba uishe ili nchi iwe imetulia ndiyo urudi.
Inabadilishwa tiketi,
Ingefaa Mkapa angeshuhudia kuapishwa kwa Lissu ndipo atwaaliwe.
Amina! Unakuja nyundo kulivunja vunja jiwe la Chatto!Lissu anarudi, anapata attention zaidi ya ilivyotarajiwa na msiba unaendelea kama kawaida.
Lissu kwa sasa ni tunu ya taifa huwezi kupona kifo kwa nguvu za Mungu mbele ya risasi 38 zilizopigwa kwenye gari yako na 16 kukuingia mwilini alafu uwe mtu wa kawaida na watu wasikufuatilie . Never on earth.
Na vyovyote vile Tundu Lissu ndo Raisi wa Jamhuri ya muungano Tanzania hapo October 2020.
Well thought!!!Chadema walipanga kufanya matukio makubwa sana ndani ya mwezi huu wa saba.
i/ Ujio wa Tundu Lissu siku ya jumatatu(27/07/2020) kama sijakosea siku.
ii/ Mkutano mkuu wa chadema wa tarehe 29/07/2020 kama sijakosea siku ili kumchagua mgombea wa urais atakaye chuana na Magufuli.
Sasa hili matukio haya yalete maana iliyokusudiwa na CHADEMA basi ni bora yote yahailishwe ili kupisha kwanza msiba uishe.
please Lissu usirudi kwanza mpaka msiba uishe ili nchi iwe imetulia ndiyo urudi.
Hawa wanaoahauri wala sio chadema. Ni wana Lumumba kindakindakiAnayeshauri ujio uhairishwe, amejiuliza taratibu za NEC na tarehe ya mwisho ya chama cha siasa kupeleka jina la mgombe urais, ubunge na udiwani?
Au mnaangalia mapokezi tu na kusahau Lissu anaweza kutoruhusiwa kupitishwa akiwa nje ya nchi??
Ninapata hisia msiba huu utatumiwa kuzuia mapokezi ya Lissu na hata atachukuliwa na polisi kwa kisingizio cha kuzuia mikusanyiko ya watu, halafu atafikishwa polisi kwa amri ya mahakama kujibu dhamana na kesi zake!! Huyu anayeshauri kusiwe na maandamano anajua vizuri kilichopangwa!!
Yaani mavi yanagonga chupi zao wakisikia jina la LissuHawa wanaoahauri wala sio chadema. Ni wana Lumumba kindakindaki
Hawaamini kama anarudi. Wanatamani dunia iishe leo. Wanamuogopa zaidi ya kifo. Wanaenda msibani kwa mzee mkapa huku wakimuwaza Lissu!Yaani mavi yanagonga chupi zao wakisikia jina la Lissu