Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,434
- 4,673
Utakuwepo airport au utaogopa virungu!?Nakubaliana kwamba aahirishe ujio wake kwa wiki 2 hivi na hata mkutano mkuu CDM upelekwe mbele wiki 2 hali iwe shwari ili kishindo cha umma kisikike dunia nzima.