Lissu usirudi kwanza mpaka msiba uishe na ni busara pia mkutano mkuu wa CHADEMA uhailishwe

Nakubaliana kwamba aahirishe ujio wake kwa wiki 2 hivi na hata mkutano mkuu CDM upelekwe mbele wiki 2 hali iwe shwari ili kishindo cha umma kisikike dunia nzima.
Utakuwepo airport au utaogopa virungu!?
 
Yaani Mungu ni mkubwa kwakweli...Lisu anakuja wakati ambao master planer wa tukio sio gavana tena wa kipande cha dasalama! Wamepigwa upofu kama wale washenzi wa sodoma na gomola.karibu home kipenzi cha watanzania!
 
Nashauri aje hiyo jtatu na ashiriki shughuli zote za mazishi hadi mtwara
 
CCM leo wanaendelea na kura za maoni za madiwani kwanini nongwa iwe chadema lissu kuwasili
 
Ana ticketi mkononi. Lazima arudi, labda mkutano mkuu usogezwe mbele baada ya mazishi ya Mzee Mkapa.
Huyu jamaa saiv simuamin kuna kipindi alisema anarudi halafu akapotea hewani,kila siku anasema nakuja nakuja nakuja halafu haji,bwege kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…